Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

20240909_055335.jpg
 
Iko hivi,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambae naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikua yameshaisha tulibaki kulea mtoto...

Sasa,nilifikia lodge nayeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge.katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikua tarehe 17 mwezi wa 12.

Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.

Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama anamimba nikamuambia mm hajaniambia

Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake,kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.

Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema
I kweli..miez tisa anatimiza 17/9/2024.. atazaa siyo muda...pia nadhani huyo mwanamke ana akili sana hataki kuzaa na kila mwanaume.. ameamua akuzalie watoto..
 
Iko hivi,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambae naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikua yameshaisha tulibaki kulea mtoto...

Sasa,nilifikia lodge nayeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge.katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikua tarehe 17 mwezi wa 12.

Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.

Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama anamimba nikamuambia mm hajaniambia

Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake,kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.

Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema
Apo Wanawake ndipo ninapowakubali....Wakikutana na Boya wanamburuza mpaka akomee
 
Mimba siku hizi zinaenda hadi miezi 15, inawezekana mkuu
 
Iko hivi,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambae naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikua yameshaisha tulibaki kulea mtoto...

Sasa,nilifikia lodge nayeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge.katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikua tarehe 17 mwezi wa 12.

Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.

Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama anamimba nikamuambia mm hajaniambia

Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake,kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.

Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema
Anakuwa hajazaa ndiyo.

Labda ipite hiyo tarehe 17/9 ndiyo uanze hayo maswali magumu.

Hata hivyo kukuficha chanzo cha mimba hadi kuelezwa muda huu wa lala salama, tena kwa kufuatilia mwenyewe kuna walakini mkubwa kama ni yako kweli.

Hapo kunatafutwa bwege mlishi. .

Hata ukamvamie kusoma cheti cha kliniki utakuta umeandikwa wewe, ashakusoma unapenda sana 'nzao' kwa kufuatilia mimba ambayo haujapewa taarifa kwa sababu si yako.
 
Hongera sana,idadi ya watu inazidi kuongezeka!Huyo labda alitaka watoto wake wawe wa baba mmoja!yupo ndani ya muda
 
Iko hivi,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambae naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikua yameshaisha tulibaki kulea mtoto...

Sasa,nilifikia lodge nayeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge.katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikua tarehe 17 mwezi wa 12.

Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.

Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama anamimba nikamuambia mm hajaniambia

Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake,kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.

Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema
Unachekesha sana Mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto...

Sasa, nilifikia lodge na yeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikuwa tarehe 17 mwezi wa 12.

Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.

Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama ana mimba nikamuambia mimi hajaniambia

Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake, kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.

Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema
Mapenzi mfanye nyie,tena bila kinga kisha mtuchoshe kushauri...skia babu lai,mimba ni yako usilete nyenyenyeee
 
Back
Top Bottom