Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

Acha kukimbia majukumu ..
Ameshafilimbwa hapo Wanawake mna Siri nyingi mno ndio maana alifanya Siri mdau anapewa tu mtoto si anataka kuhudumia na yule si anahudumia basi atakua analetewa tu ahudumie huku Watu wanajipigia tu ikinasa analengeshewa aendelee kuhudumia, siziamini hata DNA test simshauri ukapime hio Mimba km yake yeye na moyo wake km anaweza kuzilea shahawa za Mwanaume mwingine ni juu yake
 
Acha kiherehere. Umemtafuta mwenyewe
 
Mtu hajakwambia kama ana mimba yako, wewe kwa kiherehere chako unaenda kumlazimisha akubaki kua ana mimba, ukamforce kidizaini aseme ni yako ili upate stress tu.

Kijana una safari ndefu sana na wanawake.
 
Wewe nifala kweli hujui hata mimba inakomaa miezi mingapi😄
 
ujauzito una miezi kumi saa hii kutoka mwezi wa 12 mwaka Jana.
 
Atajifungua trh 17 Septemba
 
Sasa elimu inahusiana nn na huu ushauri
Sasa kama unashindwa hata kujua ukuaji wa Mimba kwanini usiulizwe ekimu yako?? , nina wasiwasi hata huyo wa kwanza anaweza asiwe wako kama mwanamke anakutamkia hio mimba ni yako bika wasiwasi
 
Iko nacho ni kisebu sebu shobo
 
Akili Kama hizi zinawafaa sisimizi , uboya kweli huu
 
Umri wako miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…