Wadau hebu nitatulie hapa kidogo

Wadau hebu nitatulie hapa kidogo

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
284
Hivi matokeo ya kidto cha nne hutoka mwez wa 1 kwenye tareh ngapi.itakuwa vizur kama mtanikumbusha na ya mwaka jana yalitoka kwenye tareh ngapi.(request)
 
huwa yanatoka tar za mwisho wa mwezi wa kwanza au tar 1 mwezi wa pili.
 
mwaka huu hayatatoka!!!!!!!!!!!!! wewe anza tu kujivinjali kwani huwezi kutizamwa ili uchekwe
 
Maswali mengine hayana kichwa wala miguu. Ingia MOE, uangalie ya mwaka jana yalitoka tar ngapi. Simple and clear.
 
wewe kwa IQ yako umeshafeli... zero
 
Kijana uliye uliza swali umelidhalilisha jukwaa kuuliza swali lisilo kuwa na tija kwa jamii,kwanza wewe ukijua yatakusaidia nini? Au unaandaa mipango ya uchakachuaji?
 
Dunia ina watu tofaut,watu tofaut wana mawaz tofaut ila wote unatakiwa kuish nao hivy kwa tofaut zao hivy nashukur kwa mawazo yenu tofauti.
 
Back
Top Bottom