Wadau hiki kizinga niaje!!

Hicho sidhani kama ni kibomu. Yeye amekwambia amepatwa na shida na huwezi kujua ukaribu wake na hao waliomzunguka kabla ya kuja kwako. Wewe kuwa muungwana kama ni wa kumpa mpe kama huwezi mwambie tu haiwezekani. Sidhani kila rafiki wa kike anayekwambia anashida fulani anakuchuna. Ila kama wewe ndiyo mawazo yako basi pole.
 
Nikwamba kinacho kuumiza wewe haujamtongoza hicho tu,,lakini mkuu kwani kumsahidia mtu mpaka uje umtangaze huku...
 
Acha uzinzi ndyo dawa ya mizinga
 
Nikwamba kinacho kuumiza wewe haujamtongoza hicho tu,,lakini mkuu kwani kumsahidia mtu mpaka uje umtangaze huku...
Mkuu simtangazi..Ni ushuhuda ili dada zetu wajifunze
 
Elfu hamsini tu kelele je angekuomba laki c ungekodi tarumbeta[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
NiPM namba yake nimtumie, hali ngumu na usawa wa hapa kazi tu unabana kitaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na tutazidi kuchunwa kwa tamaa zetu. Papuchi ya mwanamke ndio mtaji wake hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…