Wadau hiki kizinga niaje!!

Wadau hiki kizinga niaje!!

nautawakosa hivihivi utaishia kuwaita MASHEMEJI kwa ubahili wako.
sasa mfano ww upewe ngap ndo unaridhika unaweza unatoa ? Maana wengine ni mateja wa kupiga mizinga,,, anapiga tuuuu...ukisema njoo anakuambia tuma nauli, ukituma anakuambia amepata dharura inakuwa mwendelezo wa mizinga
 
kuna uzi wangu nlishasema km umekutana na binti alafu akakuomba hela kabla ya masaa 48 hayajapita na unampango wa kumuoa jiandae kisaikolojia kuwa huyu anahitaji hela mda wote co unalialia tu.
 
  • Thanks
Reactions: RFP
Inatokan na ww unaongea nae vp, sas km unajicfia una hela afanyaj yy?
 
Hadi wakati huu hujatuzoea tu wanawake??sa ivi pesa mbele aibu tupa kule

Kuna watu wapo mjini kwa pesa za wanaume tu
Usiseme ivyo bhana, karoho kangu kanaumaa...
Nilikua nakumendea sasa unanipunguza speed... Hahaha
 
Back
Top Bottom