Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #41
Hayo yanakua mapenzi ya pesa na sio ya kweli..Hela zikiisha na yeye anakimbiaTena ukimpa pesa mwanamke upendo unazidi. . .jaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanakua mapenzi ya pesa na sio ya kweli..Hela zikiisha na yeye anakimbiaTena ukimpa pesa mwanamke upendo unazidi. . .jaribu
nautawakosa hivihivi utaishia kuwaita MASHEMEJI kwa ubahili wako.Wataqaibia hao hao wasiojielewa..
Mm sio mbahili..Tatizo mtu anakuona boya then anajisifia.nautawakosa hivihivi utaishia kuwaita MASHEMEJI kwa ubahili wako.
haahaaaa mkuu na yye kastuka .....mawasiliano ya nn kwan ye customer careLabda na yeye amewaza kuwa wewe shida yako ni kumgegeda so amejiongeza tu , Kwa sababu haya maisha yalivyo kila mtu anajiongeza tu sasa hivi,.
Usidhani ulivyosema ivo ndo mademu wa humu utawapata.Mkuu yaani elfu hamsini tu ndio kelele zote hizo. Kama hauna unakaa kimya tu sio unawatangazia watu au unataka tukuazime hiyo hela?
hizi gia zako hupati mtu humu.We nawe si ungempa tu hela yenyewe ndogo na sio kizinga kwamba ni demu wako, si ni rafiki tu? Hela zinatafutwa kaka hahhahaaaa!!!!!!
Huna wazazi wa kuwachuna?hapo sasa me nikiwa na shida aibu naweka uvunguni
[emoji2] [emoji2] mi sina shida na mtu, sijaweka tangazo hapa la kutafutahizi gia zako hupati mtu humu.
wapo ila sitaki kuwachunaHuna wazazi wa kuwachuna?
Yani huo mzinga assumu amewapiga watu 10, hakosi laki mbili.Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..
Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.
Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
Mimi sivizii mademu humu kijana ila nawavizia watu kama wewe ili niweze kuharibu hayo marinda yako.Usidhani ulivyosema ivo ndo mademu wa humu utawapata.
Kijana soma kwanza umalize elimu yako, hayo mambo mengine waachie wenye uwezo nayo .....Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..
Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.
Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
Nani kakuambia nasomaKijana soma kwanza umalize elimu yako, hayo mambo mengine waachie wenye uwezo nayo .....
Unalalamika vp kumsaidia mtu elfu 50 ????Nani kakuambia nasoma
Hivi umeielewa vizuri hiyo mada..Hembu isome tenaUnalalamika vp kumsaidia mtu elfu 50 ????
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndio mnavyosemaga
Ila ikifika zamu yako hata wewe unachunwa tu [emoji38]
Mmh kaka yangu unalalamika mno kwani na wewe ulimpenda kwa dhati?Hayo yanakua mapenzi ya pesa na sio ya kweli..Hela zikiisha na yeye anakimbia
Nimeisoma vizuri na kuielewa na nimerudia tena na tena ....Hivi umeielewa vizuri hiyo mada..Hembu isome tena