Wadau hiki kizinga niaje!!

Wadau hiki kizinga niaje!!

Hicho sidhani kama ni kibomu. Yeye amekwambia amepatwa na shida na huwezi kujua ukaribu wake na hao waliomzunguka kabla ya kuja kwako. Wewe kuwa muungwana kama ni wa kumpa mpe kama huwezi mwambie tu haiwezekani. Sidhani kila rafiki wa kike anayekwambia anashida fulani anakuchuna. Ila kama wewe ndiyo mawazo yako basi pole.
 
Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..

Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.

Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
Nikwamba kinacho kuumiza wewe haujamtongoza hicho tu,,lakini mkuu kwani kumsahidia mtu mpaka uje umtangaze huku...
 
Elfu hamsini tu kelele je angekuomba laki c ungekodi tarumbeta[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
NiPM namba yake nimtumie, hali ngumu na usawa wa hapa kazi tu unabana kitaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na tutazidi kuchunwa kwa tamaa zetu. Papuchi ya mwanamke ndio mtaji wake hapa mjini.
 
Back
Top Bottom