Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

Habari wanajukwaa ebu fungueni code sex friend inakuawaje na kanuni zake ni zipi na inaelewekaje na wanawake wa aina gani na inafanyikaje.

Daah ebu fungueni code
Kwenye sex friend utajikuta unaitwa:-

i) just a friend

au

ii) kaka wale wa kizungu wanasemaga "you are still my bro" ( rekebishen wenyewe)

hutoi gharama kubwa / hutoi chochote ila katika kucheza cheza huko unajikuta umetengeneza single maza pasi na maono yeyote huku moyoni ukiwa na umpendae ..

na kinyume chake ni kwa wanawake pia


Nb.: sex friend ndiyo chanzo kikuu cha wanaume kuitwa umbwa na wanawake kuitwa malayer / madanga
 
Back
Top Bottom