Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

Kabisa ila kuna wadogo zako humu wanayabena kama yalivyo
Za kuambiwa wachanganye na zao, vidole vyangu vikishakuwa kwenye free mode ya kuitumikia jf huwa nna ujinga mwingi sana usiohusiana na uhalisia wangu, ni kuchangamsha tu jukwaa maisha yenyewe mafupi haya.
 
Uongo, hapa kwa watu wengi unasema hivyo ila ukizama ndani vyote unafanya mfyuuu..!! 😹😹
Niamini mimi hata awe mzuri vipi siendi uvinza, niliwahi mara mbili sijui tena juu ya pichu na inatosha sana siji kurudia kamwe. Na hicho ndio nachojipendea nna msimamo usiotetereka kwenye hilo. Kuuza mechi nilishapuyanga😂
 
HATUDANGANYIKI JIRANI 😹😹😹

Wewe hapa najua unaona aibu watakuzodoa wanaume wenzio…!! Ila ako ni kamchezo kako pendwa…!!😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…