Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

Kw hizo mechi ulizo mtaja uwez kumuona Fei toto.....

Fei toto ni fundi haswa ila koch Zahera anakosea kumchezesha namba 6 Fei n mzuri akiwa Namber nane toka akiwa Jku, na hata Zanzibar Herrors, ndo maaba ata juzi aliitumia vyema nafasi yake.....

Anaujua, anakamilisha majukumu yake ila cha zaid ana ladha na si utoto kitu ambacho wengi wanataman ila uwezo awana.
Sawa Mkuu.. Kesho nitamuangalia tena kwa umakini akiwa anapambana na 'watoto wenzake' wa shule ya Alliance katika muendelezo wa TPL.
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.

Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.

Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
Kumbe ndio ulikokuwa unaelekea 😀😀😀

Fei Toto atosha. Muache hapo hapo jangwani, akifikisha umri wa Niyonzima tutakupatieni
 
Sawa Mkuu.. Kesho nitamuangalia tena kwa umakini akiwa anapambana na 'watoto wenzake' wa shule ya Alliance katika muendelezo wa TPL.
Unanafasi kubwa sana ya kuinjoy ufundi wake mkuu maana umri bado unaruhusu......

Wadau tumekua tukipiga kelele kwenye mitandao ili kocha ampange dimba la juu aonye ufundi wake lakin wap? Ata hivyo kwa jicho lingine kucheza dimba kubwa n faida kwake azid kukomaa asa kipengele cha ukabaji.....

Kwa umri wake na uwezo ni ngumu kuwafananisha na mkude kwa sasa lakin ndan yake anavitu, akiwa na nidhan na Malengo toto ni zaid ya Mkude kwa baadae.......
 
Fei toto dogo yuko vzr.. ila asogezwe 8/10... akaze buti tu.
 
Mkuu, je? Fei na Jonas wanacheza nafasi ya aina moja?
Ulinganisho unaleta maana kama nafasi zao ni hizo hizo.
Mmoja ni defensive midfielder na mwingine ni attacking midfielder. Si busara kuwalinganisha.
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua Feisal a.k a Fei Toto atosha.

Wanadai kua.. Kama kwenye timu una Feisal, Mkude wa kazi gani??.. Hivi hizi ni akili kweli au ndo ule tunaita 'unazi'?? Hivi kweli huyu 'dogo' ni fundi kiwango hicho.. Au mimi hua simtilii maanani??

Achana na mechi ya jana.. Tangu saa 8 usiku niliamua kumtilia maanani Feisal kwa kuangalia marudio za mechi zifuatazo zilizochezwa msimu huu;
1. Yanga SC vs Stand United
2. Simba SC vs Yanga SC
... lengo ni kushuhudia uwezo wake, lakini mpaka saa 1 hii ya asubuhi sijakiona kile kilichokua kikihubiriwa jana.
Nilichokiona mimi ni 'utoto' mwingi kwenye mpira wake.

Ndugu 'wachambuzi wa soka' maoni yenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom