Acha ushabiki chambua mpira. Uwe na siku njemaWala sijamlinganisha sababu Mkude hamfikii Fei labda kwa mabavu.
Sawa Mkuu.. Kesho nitamuangalia tena kwa umakini akiwa anapambana na 'watoto wenzake' wa shule ya Alliance katika muendelezo wa TPL.Kw hizo mechi ulizo mtaja uwez kumuona Fei toto.....
Fei toto ni fundi haswa ila koch Zahera anakosea kumchezesha namba 6 Fei n mzuri akiwa Namber nane toka akiwa Jku, na hata Zanzibar Herrors, ndo maaba ata juzi aliitumia vyema nafasi yake.....
Anaujua, anakamilisha majukumu yake ila cha zaid ana ladha na si utoto kitu ambacho wengi wanataman ila uwezo awana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha.. Alichokifanya hua tunaita 'unazi'.. Ila nadhani kakuelewa.
Kumbe ndio ulikokuwa unaelekea πππHili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.
Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.
Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
sawa ila hiyo avatar yako mwana mtoka pabaya weKumbe ndio ulikokuwa unaelekea πππ
Fei Toto atosha. Muache hapo hapo jangwani, akifikisha umri wa Niyonzima tutakupatieni
Mpira gani uliouchambua,huo wa kusema Mkube kampita nguvu na umri Fei Toto?Acha ushabiki chambua mpira. Uwe na siku njema
Umesema wewe [emoji23][emoji23] weka ushabiki pembeniMpira gani uliouchambua,huo wa kusema Mkube kampita nguvu na umri Fei Toto?
Ebu muangalie fundi huyoView attachment VID-20181018-WA0012.mp4Hahaha.. Alichokifanya hua tunaita 'unazi'.. Ila nadhani kakuelewa.
Du mkuu hii umeua kabisaaa!!!Kumbe ndio ulikokuwa unaelekea πππ
Fei Toto atosha. Muache hapo hapo jangwani, akifikisha umri wa Niyonzima tutakupatieni
yaaani hapo ulipomwambia uwe na siku njema nimepapendaAcha ushabiki chambua mpira. Uwe na siku njema
Unanafasi kubwa sana ya kuinjoy ufundi wake mkuu maana umri bado unaruhusu......Sawa Mkuu.. Kesho nitamuangalia tena kwa umakini akiwa anapambana na 'watoto wenzake' wa shule ya Alliance katika muendelezo wa TPL.
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua Feisal a.k a Fei Toto atosha.
Wanadai kua.. Kama kwenye timu una Feisal, Mkude wa kazi gani??.. Hivi hizi ni akili kweli au ndo ule tunaita 'unazi'?? Hivi kweli huyu 'dogo' ni fundi kiwango hicho.. Au mimi hua simtilii maanani??
Achana na mechi ya jana.. Tangu saa 8 usiku niliamua kumtilia maanani Feisal kwa kuangalia marudio za mechi zifuatazo zilizochezwa msimu huu;
1. Yanga SC vs Stand United
2. Simba SC vs Yanga SC
... lengo ni kushuhudia uwezo wake, lakini mpaka saa 1 hii ya asubuhi sijakiona kile kilichokua kikihubiriwa jana.
Nilichokiona mimi ni 'utoto' mwingi kwenye mpira wake.
Ndugu 'wachambuzi wa soka' maoni yenu tafadhali.