Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sauti ndiyo kero zaidiNiliona kuna post moja wanasema ile sauti ya mbu huitoa kama kukuzubaisha...
Yan kama unapigiwa kinanda ulale
wenyewe ndo wanaamini hivyoHiyo sauti ndiyo kero zaidi
Ahahahaaaa [emoji1787][emoji85]
Kwani wanakula wax au wanavutiwa kiaje?Mbu huvutiwa na harufu ya wax iliyomo kwenye masikio yetu, ndio maana wanazunguka sana hapo
Yaani wanatamani kuingia ndani kabisa
Jf ni full vituko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] walokole na mbu?
Kwani wanakula wax au wanavutiwa kiaje?
OkeyHiyo harufu ndio wanavutiwa nayo
Wakiingia sikioni lazima wafe ila wanazungukia tu juu juu
Sikio ni moja kati ya milango mitano ya fahamu katika mwili wa binadamu.Wadau aiseee ebu wataalam waelezee kidogo uhusiano uliopo kati ya mbu na sikio manake mbu anataka damu so inabidi akungate sasa hii kulia sikioni yaani anauzi atazunguka koote atarudi sikioni ziiiiiiiii na sikioni hakuna damu sijui anataka nini
Kumbe mbu hana tofauti na yule nyoka mwenye jicho moja anaposikia harafu ya waxMbu huvutiwa na harufu ya wax iliyomo kwenye masikio yetu, ndio maana wanazunguka sana hapo
Yaani wanatamani kuingia ndani kabisa
Kumbe mbu hana tofauti na yule nyoka mwenye jicho moja anaposikia harafu ya wax