Unashuhudia wewe na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]habari ndugu zangu! naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hpo juu.
generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata lika za kati! kwa madai ya kuwah kumaliza tendo la ndoa! na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
sawa dadaVuta bangi
Kuna mwingine anasema unamchosha,ukipata anaependa ngono kuchelewa ni raha sana.....
Hiyo inategemea na tumbo la ntu na ntu..mimi pia nahitaji msaada, mi tatizo langu nikila ugali/wali nawahi kushiba hivo naombeni mbinu za kuchelewa kushiba.
mimi na wachache walionambia..Unashuhudia wewe na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
halafu ukipata ela unazitafuta story hiz..Tafuta hela mzee, achana na story kama hizi hazitakusaidia.
Ukishapata hela njoo ofsini nikupe package ya 300k tutibu changamoto yako fasterhalafu ukipata ela unazitafuta story hiz..
mh! iwe slow halfu chiu ya manzi iwe haibani, au unaelea itakuwje..ππBaadhi ya watu ni papara sana
Km huwa unawahi sana na unataka kuchelewesha take it slow
Tendo la ndoa huwa halimaliziki...lilikuwepo toka enzi na bado litaendelea kuwepo. Maendeleo hayana vyamaHabari ndugu zangu
Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.