Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

habari ndugu zangu! naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hpo juu.
generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata lika za kati! kwa madai ya kuwah kumaliza tendo la ndoa! na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Unashuhudia wewe na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwahi au kuchelewa inategemea unaenda wapi na unatumia usafiri gani?
 
Al muhim usimwache mpenzi wako na hamu, uwahi uchelewe lakini lazima umfikishe Kibo.
 
Baadhi ya watu ni papara sana
Km huwa unawahi sana na unataka kuchelewesha take it slow
 
Habari ndugu zangu

Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Tendo la ndoa huwa halimaliziki...lilikuwepo toka enzi na bado litaendelea kuwepo. Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom