Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

Wadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko??
Msaada tafadhali
Ramani ndiyo ingeweza kutoa muelekeo maana waweza kuta chumba tu cha kulala ni 500cm ×600cm sitting 700cm×900cm na jiko ni 300cm×300cm choo 200cm×300cm hapo hiyo hela itatosha kinyumba kimoja tu
 
Hajakwambia apartment ya hadhi gani, lakini bado unaweza toka na Apt nzuri tu.
Ndio nimemjibu kwa apartment nne hapana. Labda tatu kwa kutoweka mbwembwe au mbili zenye mbwembwe
 
Ila cha msingi aweke wazi location ambapo hizo nyumba zitajengwa ili kujua gharama za vifaa vya ujenzi + tofali na vitu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…