Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

4.5m kwa 3m. Upande wenye 4.5m unapunguza 1.5m. Itatoa jiko na choo size 1.5 kwa 1.5 na kubakiwa na chumba chenye 3m kwa 3m. Block za msingi kwa moja ni 150pcs na kuinua 700. Upauaji wa Contemporary
Kwamba 4.5mil inatoa chumba, sebule na choo kwa vyumba vya 3m??? Hebu tuambie vinakuwaje
 
Asante wadau naendeleo kufuatilia maoni yenu yana mchango mkubwa sana kwangu!!
Nenda na hesabu hii, siyo exactly tofauti ndogo sana inaweza jitokeza, kutegemea eneo.

Block 700, Tiles 250, Mlango 450, Madirisha 700, Mchanga & kokoto 250, Rangi, G powder & W cmt 150, Bati 300, Mbao 100, Cement 400, Board 100, Nondo 100, Umeme 350, Fundi 500.
 
4.5m kwa 3m. Upande wenye 4.5m unapunguza 1.5m. Itatoa jiko na choo size 1.5 kwa 1.5 na kubakiwa na chumba chenye 3m kwa 3m. Block za msingi kwa moja ni 150pcs na kuinua 700. Upauaji wa Contemporary
Hukueleweka kwenye contemporary
 
Nenda na hesabu hii, siyo exactly tofauti ndogo sana inaweza jitokeza, kutegemea eneo.
Block 700, Tiles 250, Mlango 450, Madirisha 700, Mchanga & kokoto 250, Rangi, G powder & W cmt 150, Bati 300, Mbao 100, Cement 400, Board 100, Nondo 100, Umeme 350, Fundi 500.
Hapa hueleweki hizo 250,700,450.....Ni quatities za materials au ni bei za material+Labour+ transport? Na kama ni bei andika vizuri kama ni laki moja andika Tsh 100,000/= ili ueleweke.

Halafu kumbuka apartment ni Chumba, Sebule, Choo na jiko.... kwenye hesabu zako naona hujaweka Sebule.
 
4.5m kwa 3m. Upande wenye 4.5m unapunguza 1.5m. Itatoa jiko na choo size 1.5 kwa 1.5 na kubakiwa na chumba chenye 3m kwa 3m. Block za msingi kwa moja ni 150pcs na kuinua 700. Upauaji wa Contemporary
Chief nahitaji mahesabu ya kujemga chini tu hapa, itanigharimu kiasi gani, nataka nijenge chini, nivute pumzi nitamalizia juu kipindi kijacho.

Nimejaribu kupandisha ramani yake hapa inagoma..

Idea yake iko hivi chini najenga fremu 5 na geti.. Kisha juu nitajenga fremu 6, ya sita ni juu ya eneo la hilo geti..
Vipimo
Upana wa fremu ni mita 3
Urefu utakuwa ni mita 4.5.
 
Hapa hueleweki hizo 250,700,450 Ni quatities za materials au ni bei za material+Labour+ transport? Na kama ni bei andika vizuri kama ni laki moja andika Tsh 100,000/= ili ueleweke...
Ni issue ya kujiongeza tu, ongeza 000 ktk hizo figure, ie. Number in thousands. Kwa kuelewa hoja hizo ni pesa. Niambie nilicho kadiria chini. Nenda moja baada ya nyingine. Kwa chumba chenye jiko na bafu. Hizo ndizo gharama zake.
 
Mnajua maana ya apartment lakini?
Nime copy Google, na ndivyo nijuavyo
An apartment (US English) or flat (British English) is a place to live that is only part of a larger building. ... Each apartment is a separate room or set of rooms for people to live in. Sometimes an apartment will only be one small room, and tenants will have to share other rooms like the bathroom and kitchen.
Kwahiyo hata chumba kimoja chenye choo, bafu na jiko ni apartment.
 
Chief nahitaji mahesabu ya kujemga chini tu hapa, itanigharimu kiasi gani, nataka nijenge chini, nivute pumzi nitamalizia juu kipindi kijacho...
Hiyo ni chumba jiko na choo. Upangishaji wenye mahitaji makubwa kwa sasa ni wa chumba kimoja chenye huduma muhimu. Yaani kulala kupika na kuoga. Upangishaji wa pili ni kuongeza lounge/sebule labda na store.
 
Back
Top Bottom