Akili yako imeishia hapo! mwanzo nimetoa hesabu ya apartment yenye one self bedroom with kitchen angalia ili ujue navuta nini? Kama umewahi kujenga na kusimamia utajua 17m inaweza jenga nyumba ngapi za size hiyo.
wewe ni mpumbavu. bila shaka ulikimbia hesabu shule hata hivyo Watu ambao hamjawahi kujenga au kusimamia ujenzi mna mawazo finyu sana
pata elimu hii ya uhalisia.
hiyo apartment unayosema hata iwe na chumba kimoja na sebule jiko na cho utahitaji tofali angalau 1600 kwa uchache ambapo kwa apartment nne ni tofali 6400. ukinunua kila tofali kwa sh 1000 gharama ya tofali zote ni 6,400,000. Katika 17Mil umebakiza 10.6mil
Ukisema ujibane sana kila aprtment mpaka finishing utumie nondo 12 tu kila nondo 18,000 mara aprtment nne ni sh 864000 umebakiwa na tsh9,73,600
cement ukitumia 1.5 ton yaani mifuko 30 mpaka finishing kwa kila apartment utatumia mifuko 120 ambayo kwa mfano ununue kwa 13,000 kila mfuko utatumia 1560000 inabaki 8176000. Gharama za ufundi kwa kila apartment hata ukiwapata mafundi wa bei ya chee kuanzia kuchimba msingi mpaka finishing haipungui 1500000 kwa kila apartment yaani 6mil....umebakiza 2,176,000
vifuatavyo bado hujakamili
Plumbing
electrification-vifaa na fundi
ceptic tank
mbao zote za kushikilia zege na za kuezekea
mabati
misumali
mchanga na kokoto
gharama ya usafirishaji wa matofali na vifaa vingine vya ujenzi kama neno,cement, mabati na mbao
.....NB: Hapo una kiwanja tayari
***************************************************