Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamanii watu prexha iko juuu ndg yenu leo kweli??????
Oya wadau kwa anayejua mi ndo nmesikia hvo anihakikishie
Very bad bora yachelewe tu mana mtandao uta jam mpaka ntashindwa access JF
.
Mdau me mwenyewe n mhitim nazan yatakuja mwez hu kikubwa 2ombe yawe mazur.
Oya wadau kwa anayejua mi ndo nmesikia hvo anihakikishie
.Wakati mwingine inabidi tutumie sense of reasoning, kipindi cha zamani matokeo yalikuwa yanatoka mwezi wa 2 kwasababu mtihali ulikuwa unafanywa mwezi wa 10 na walikuwa wanaingia form 5 mwezi wa 3/4, lakini kipindi hiki mtihani umefanyika mwezi wa 11 na wataingia shule mwezi wa 7 so lets expect the result to come out late this time.
sawa mana naham nayo kweli