Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

Status
Not open for further replies.
Very bad bora yachelewe tu mana mtandao uta jam mpaka ntashindwa access JF
.
 
mh!! sijui kuna improvement au wamevuruga!!! ngoja tuwaombee,wadogo zetu!!
 
ina maaana kesho madogo wanauvaa mkenge????????
 
Subiri yatengenezwe,utafurahi tu,usiwe na wasiwasi
 
Oya wadau kwa anayejua mi ndo nmesikia hvo anihakikishie

jiandae kupokea matokeo kwa jinsi yalivyo..

yakija mazuri, Mshukuru Mungu na usonge mbele!

yakija mabaya, usijiue, huo sio mwisho wa maisha!

ukifutiwa matokeo, pia usikate tamaa!

maisha lazima yaendelee!

shule ni muhimu sana japo sio lazima wote tupitie huko!!
 
Wakati mwingine inabidi tutumie sense of reasoning, kipindi cha zamani matokeo yalikuwa yanatoka mwezi wa 2 kwasababu mtihali ulikuwa unafanywa mwezi wa 10 na walikuwa wanaingia form 5 mwezi wa 3/4, lakini kipindi hiki mtihani umefanyika mwezi wa 11 na wataingia shule mwezi wa 7 so lets expect the result to come out late this time.
 
TANGAZO CSEE 2014
.
Kaka ukiisoma hilo tangazo hapo juu
utaona kwamba kwa QT wanao reset tarehe 24 mwezi huu ni mwisho wa usajili
sasa ukisema kua yatachelewa kutoka wanafunzi X watakao feli
watajisajili lin?
.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom