Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
UKUTA Pole sana. Nakushauri umtafte na umpe uhalisia wa mambo na ikiwezekana mwambie kwanza akuache ili ufikirie sio jambo la kuwaza dakika kumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuummmm uzi upo kiufundi na hauendani na maelezo yako.
Thx brUKUTA Pole sana. Nakushauri umtafte na umpe uhalisia wa mambo na ikiwezekana mwambie kwanza akuache ili ufikirie sio jambo la kuwaza dakika kumi.
Kwanza pole kwa kuwa na sura mbaya kama fenesi km ulivyojisema ww mwenyewe.
Jana ulituponda sana wanaume wa dar hatujui kutongoza kumbe ww wa mkoani pia ni wale wale domo zege.
1.sifikirii kuachana na trace nafikiri namna ya kuendelea nae
2.ukweli utabaki pale pale wazalamo ni wataakam wa kucheza bao na kukaa kwenye majamvi kupiga gumzo wavivu hatare ni genye tu ndio huwaamsha na kuwapeleka madanguroni
Haku hakuna waka 071kama nyie wazalamo
Nikiwa dar tabia zangu si za ki daslam ni za ki mbeya
Sasa kama unaishi mbagala rangi tatu wewe pia ni mwanaume wa dar na imekuwa vizuri ulivyopigwa kwa sababu utajifunza kuheshimu wanawake wa dar.
Trace kafanya vizuri sana kukutembeza dar angalau usafishe macho kwa kuvunja kabati jumamosi, unapokuwa dar jitahidi uwe mtanashati siku zote.
Elimu yako darasa la saba sikweli jf usingeiweza kutumia na kujadili hoja zake kisomi.
USHAURI:
Trace tuachie sisi wanaume wa dar tusiojua kitu chumbani tuliozoea kuwapa pesa wanawake wanaojiuza, ushukuru Mungu njemba zilikupiga tu coz zingekufanya kitu mbaya.
Usidharau wanaume wenzako kuwaona wadhaifu eti kisa wanaishi dar, wengine ni baba zako.
Jana ulituambia UKWELI USIWAUME BALI UWAPE FUNZO, na wewe leo ukweli usikuume bali ukupe funzo
Ukuta tena mkuuUKUTA Pole sana. Nakushauri umtafte na umpe uhalisia wa mambo na ikiwezekana mwambie kwanza akuache ili ufikirie sio jambo la kuwaza dakika kumi.
Umeielewa lknDaaa ndefu story kama riwaya
acha kutuongopea hiz story za kusadikikaTrue story joh ushaur pliiz
Wabongo bana mi nataka ushauri ona comments zao sasa au huu nao ni ushauriHadithi hadithi, hadithi njoo uongo njoo
Mkuu huamini au na wewe umekuwa tomasoacha kutuongopea hiz story za kusadikika
Unakutakia niniTrace kwao wapi
Cna hakika kama ni naamuzi sahihiSi umemalzia hapo upo tayari kufa sio umkose, sasa ushauri gani unataka fid q?