Wadau msaada wenu tafadhali, I have a hard times

Kwa dunia ya sasa ni bora upate mwanaume mwenye tabia mbaya kuliko mzuri akakusumbua. Pia waweza mpata anasura mbaya lakini tabia ni nzuri hiyo ni bora. Kwa uzoefu wangu wewe ni bora kuliko walio wazuri.
Ahsante inanipa murali wa kuendelea kuwa mpole na kumheshim anaenipenda ahsante sana mkuu
 
Hii story yako ilikua inaelekea zari la mentali sema mzee kaharibu sana.. Ila usikwame mkuu achana nae tu uyo sababu kama kushakuwa na obstacle kubwa mpaka unatumiwa watu wakuumize we unafikr kuna nn zaid ya kujihatarishia maisha!!!?? Kama kuna uyo amekupenda amin kuna wengine wapo kwa ajili yako.
kumbuka: Huwezi fanya kisiri maana unafatiliwa bila kuwafaham wanaokufatilia.

CHUKUA USHAURI AU ACHA
 
Kweli mkuu ni uamuzi mzuri ila wenye kuumiza
 
daaaa pole sana kwa msala huo mzee.kuna viashiria vingi sana vinavyoonyesha hii ni true event na sio stori. we komaa na trace. huu ni mtego wa kimaisha umepewa.unatakiwa uushinde.usiogope binadamu mwogope Mungu tu
 
Ahsante mkuu japo yataka moyo
 
Back
Top Bottom