Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Nimependa sana ushauri wako mkuu! Japo hayo mabasi ukiongozana nayo yanakuwa na vurugu flani za kijinga kama vile horn za kijinga na kuovertake bila kuzingatia usalama. Unakuta anaovertake halafu akiwa nusu ya bodi lake anakurudishia, so usipojiongeza anakusukumia nje ya barabara hivi hivi...Samahani kama nitakukosea muuliza swali maana naona umeweka concern kwenye mafuta tu..ilhali mwendo pia unaweza kuharibu gari lako mfano ukatembea na 50kph kwa zaidi ya saa nzima ujue gari yako itakua haivuki gear no.3 matokeo yake gearbox itakuwa inaumia sana...kwa maoni yangu speed yako iangalie zaidi hali ya barabara ,sheria za usalama barabarani na usalama wako na gari yako..yaani kwenye kibao cha 30 tembea below 30 kwenye 80 exclusive kanyaga mafuta kulingana na uwezo wako wa kulimudu gari lako...but pia kama huna uzoefu sana Fanya timing ya mabasi ya mwanza uongozane nayo yatakusaidia kujibalance
Na Yalibaki Mafuta mengi Tu80km/hr hadi 100km per hr n
i mzuri mm Gari yangu ni cc1600 nkaweka Mafuta ya Elfu 80 kutoka Dar nkatoboa mpaka Dodoma then Dodoma nkaweka ya 130 nkatoboa mpk Mwanza
Ungesema ulitumia lita ngapi ingekuwa vizuri zaidi. Tofauti na ukisema ulitumia mafuta ya 80,000..manake bei za mafuta kila siku zinabadilika na hatujui ulinunua lita kwa kiasi gani.80km/hr hadi 100km per hr n
i mzuri mm Gari yangu ni cc1600 nkaweka Mafuta ya Elfu 80 kutoka Dar nkatoboa mpaka Dodoma then Dodoma nkaweka ya 130 nkatoboa mpk Mwanza
Na Yakabaki Mafuta meng nikapiga Misele sana
Mkuu mafuta ya shs.80,000 ndio lita ngapi? Umeyanunua wapi? Je ulipofika Dodoma uliweka ya shs ngapi?80km/hr hadi 100km per hr n
i mzuri mm Gari yangu ni cc1600 nkaweka Mafuta ya Elfu 80 kutoka Dar nkatoboa mpaka Dodoma then Dodoma nkaweka ya 130 nkatoboa mpk Mwanza
Na Yakabaki Mafuta meng nikapiga Misele sana
80-100km/hr ni reasonable speed. Ila mtu aliezoea kuendesha Mbezi-City center , safari ndefu si jambo jepesi. Inahitaji akili iliyotulia, road lazima uendeshe defensively na sio kutegemea wa mbele atafanya hivi au vile.kuendesha taratibu kupita kiasi ni kosa kisheria mfano maeneo ambayo gari zipo more than 70kph we uko na 40 katikati ya barahara pia ni kosa pia ..
BUT
gari nyingi at 80kph zinatumia mafuta kidogo kuliko spid yeyote ile ukizid mafuta yanazid pia ukipunguza mafuta yanazidi
weka 80 ufurahie maisha ila utalala njiani au kufika usiku wa manane
Hili nalo tatizo...maana tochi zinakaa very strategic areas. Unakuta umepita kibao cha 50 then huoni kinachofuta 50 sijui wameving'oa. Ghafla umepanda mpaka 70km/hr then unaona wenzako wanakupiga taa.Maeneo yenye tochi za traffic unayajua?
IST yako inatembea 1 ltr = 20 km?Nilienda Iringa toka Dar kwa IST 1.3L nilitumia mafuta ya elfu 40 tu.
Nilichojifunza, uendeshaji unakula sana mafuta tusizingizie gari.
Vitu vya kufanya:
1. Kwanza funga madirisha washa AC acha uwoga.
2. Usiwe na vituo vingi. Kwa 2.0L may be pumzika after every 400km.
3. Acceleration iwe ndogo. Usiondoke kwa vurugu. Yaani acha gari ichanganyie taratibu.
4. Speed nenda 80 to 110kph. Ila kwenye vibao vya 50kph viheshimu. Speed chini ya 80 inakula mafuta na above 120 inabwia mafuta unless una LC V8 4.6L
5. Ila kikubwa ni kua na light-foot. Usiwe na mguu mzito. I mean usikanyage mafuta kama vita. Gusa tu.
Hana hela ya NIT. Wewe uliyeweza kupita huko tufundishe nasi pia tusio na uwezo wa kwenda NIT uliyoenda weweDereva aliyejifunza gari akaelewa vizuri hawezi kuuliza swali la aina hii.inaonekana mwenzetu anahitaji kwenda NIT ili aweze kupata competency.
Mkuu rpm nzuri ni ngapi 1 au 2?Kila gari lina mwendo wake. Kikubwa rpm