Kichpox
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 361
- 397
Kweli 60-100kwanza inaonekana aunauzoefu na safari ndefu, unachokakiwa kuhakikisha unafanya sheria zote za BARABARA, kuwa makini na vibao na michoro yote ya rod, kama umechoka pata muda wa kupumzika. kwenye speed tembea spedi uliyoizoea (60 mpaka100) ANGALIZO: usitembee na spid ambayo aujaizoea Kwan Gari Inaweza kukushinda na kusababisha ajali
Reasonable speed
Pox