Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono Juu.mwendo wa mateka
Hivi unapafahamu Mwanza kweli wewe? Si atafika baada ya wiki na atalazimika kutumia pesa nyingi kwenye kulala njiani na kwa ajili ya chakula?Mwendo kasi unaua....wewe nenda taratibu speed limit yako iwe ni 60...utafika na utakuwa umetumia mafuta yako vizuri kabisa...haya nenda salama
Hata kama huna uzoefu, in most part uko sawa. Gari ya petrol ya ukubwa wa injini yake, speed kati ya 100 hadi 120 huwa na the lowest fuel consuption than all other ranges. Kwa speed hiyo atafanikiwa kutumia angalau masaa 14 kama anasafiri kutoka Dar to Mza bila kupumzika...Mkuu hakikisha usiendeshe chini ya 120 hapo utatumia mafuta ya 10000 dar to moro (jokes)
Sina uzoefu na magari nilipenda tu kuchangia uzi huu
Labda alitumia toyo akajisahuIST yako inatembea 1 ltr = 20 km?
Mafuta ya 40,000 Dar - Iringa?
Ntakuwa wa mwisho kuamini.
Masihara hayoNilienda Iringa toka Dar kwa IST 1.3L nilitumia mafuta ya elfu 40 tu.
Nilichojifunza, uendeshaji unakula sana mafuta tusizingizie gari.
Vitu vya kufanya:
1. Kwanza funga madirisha washa AC acha uwoga.
2. Usiwe na vituo vingi. Kwa 2.0L may be pumzika after every 400km.
3. Acceleration iwe ndogo. Usiondoke kwa vurugu. Yaani acha gari ichanganyie taratibu.
4. Speed nenda 80 to 110kph. Ila kwenye vibao vya 50kph viheshimu. Speed chini ya 80 inakula mafuta na above 120 inabwia mafuta unless una LC V8 4.6L
5. Ila kikubwa ni kua na light-foot. Usiwe na mguu mzito. I mean usikanyage mafuta kama vita. Gusa tu.
Yote hio mkuu???!RPM isizidi 3......(2.5 - 3)
HahahahhahahahhahahhahaMwendo kasi unaua....wewe nenda taratibu speed limit yako iwe ni 60...utafika na utakuwa umetumia mafuta yako vizuri kabisa...haya nenda salama