Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja.
Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward...
Ninauza spares zake nyingi tu.Namuonaga nayo jamaa mmoja cku nyingi anapga nayo masafa nahic ni gar nzuri mkuu cjajua juu ya spear upatikanaji wake.
Very true....but Skoda OctaviaHiyo chini ya bonet ni VW Passat na Skoda Fabia. Tofauti ni badge na body.
The same as Ford Ranger and MazdaVery true....
We kweli unazijua....Ford Escape vs Mazda TributeThe same as Ford Ranger and Mazda
Nashukuru ndugu mara moja moja tuame kuendesha ToyotaKiroho safi ni gari bora na utalifurahia....magari yote ya mjerumani yametengenezwa kuhimili masafa marefu na hayahitaji matengenezo ya mara kwa mara kulinganisha na magari kutoka nchi zingine. Ushauri wangu ni Audi / BMW / VW are the best
Utafurahia safari maanake inatumia mafuta vizuri sanaNi 1.9tdi mkuu rrondo
Mtake radhi mleta mada. How dare you compare Audi with Ford or Mazda? Seriously ?The same as Ford Ranger and Mazda
Umekurupuka wewe, hiyo ilikuwa ni reply kwenye comment ya mtu mwingine. Hiyo Audi nimesema ni Passat na Skoda Fabia underneath and that's the fact.Mtake radhi mleta mada. How dare you compare Audi with Ford or Mazda? Seriously ?
Hukumwelewa. Alisema audi a4 ni sawa na vw passat ni kama vile ford ranger ilivyo sawa na mazda pick upMtake radhi mleta mada. How dare you compare Audi with Ford or Mazda? Seriously ?
The same as Ford Ranger and Mazda