Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Vip mkuu spare za tourage unazo?
Touareg ninazo nyingi sana
1.service parts zote za diesel/petrol
2.suspension parts eg shocks,tie rod ends,rack ends,stabilizer links,control arms zote,wishbone bushes
3.radiator
4.radiator fan
5.expansion tank
6.condensor
7.ac compressor
8.front and rear brake pads plus sensors
9.mass air flow sensor
10.oxygen sensor
11.water pump
12.fuel pumps
Etc
 
Mdanganyeni mwenzenu, Audi ni gari nzuri ila ukweli lazima usemwe kwamba spea zake ni adimu Bongo kwakuwa gari hizo sio nyingi, mimi nilikuwaga mbishi hivyohivyo nilikuwa naforce kununua gari ya Honda Fit kwavile nilipenda sana muonekano wake ila kila mtaalam wa magari nikienda anashauri niachane nazo maana nitasumbuka spea, ikabidi niangukie hukohuko kwenye toyota maana hakuna namna
Hakuwa mtaalamu bali fundi wa toyota
 
Habarini za leo JF,

Naombeni msaada wenu,
Mkuu gari za mjerumani ni makini sana!ukweli ni kwamba hakuna gari isiyo na spea duniani labda iwe ya kitambo sana!kinachosumbua hapa ni upatikanaji wa spea.

Mfano mimi mwny toyota land cruza prado,au vitz,au hardtop au ist au probox,gari yangu upatikanaji wa spea ni rahisi sana hela yangu tu!nikienda ilala au gerezani nanunua spea nafunga!

Ila hayo magari mengine unaweza kujikuta spea mpaka uagize nje pia ni ghali zaidi!Mwisho wa siku nunua kilicho ndani ya uwezo wako!
 
Safi sana nimependa kumbe kuna watu wana positive mentality. Slimshedy Audi A4 is the best realible car you can have kwanza durable, fair consumption, speed (kama mpenzi wa mwendo) na general performance yake iko superb. Nakushauri for more best choices angalia za Singapore wako jamaa flan wanaitwa Prestige Auto try their choices gari za Singapore ziko more reliable in my opinion as zinakua ni European standard.
Wale Actors wa 1) Transporter, 2) Transporter The Series na 3) Transporter - Refueled wote wametumia hii Gari. Kila la heri mkuu wangu, ukishanunua nishtue niwe nakupa mizigo ya dili unipelekee mahali kama wale jamaa
 
Safi sana nimependa kumbe kuna watu wana positive mentality. Slimshedy Audi A4 is the best realible car you can have kwanza durable, fair consumption, speed (kama mpenzi wa mwendo) na general performance yake iko superb. Nakushauri for more best choices angalia za Singapore wako jamaa flan wanaitwa Prestige Auto try their choices gari za Singapore ziko more reliable in my opinion as zinakua ni European standard.

Kuna mshakji ameniambia ye ameagiza bmw 320i m-spot huko Singapore nikapata mashaka khs quality za gari za huko Singapore chief
 
Touareg ninazo nyingi sana
1.service parts zote za diesel/petrol....
Mkuu spare za VW unaagiza wapi? I own a VW ...it's a real machine kwa kweli. I don't regret to have bought it. Mara nyingi spare naagiza nje. But kiukweli it is worthy it.

Achana na hizi porojo kwamba spare hazipatikani. Kama alivyosema mwenzetu humu kikubwa nunua aina ya gari unayoweza kuimudu kiuchumi.
 
Hakuna gari isiyokuwa na spear. Ukishaimiliki hiyo gari utajua pa kupata spear.
Na uzuri wa gari za mjerumani wana spea makini.
Weee kuna gar spear zinasumbua kweli
Yaan mpaka uagize na ukiagiza wakakosea imekula kwako
Kuna ninaowajua wameagiza vifaa vinakuja tofaut af unasubiri sanaa

Ila ni vigum hyo gari kuharibika maana vyuma vyake ni vigum kama subaru2
 
Touareg ninazo nyingi sana
1.service parts zote za diesel/petrol...
DEALER: vp kuhusu hii mashine bluebird sylphy, naitamani sana hasa ya mwaka 2014, spare unazo pia.....??
 
Back
Top Bottom