Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Wakuu habari!
Ninampango wa kuachana na magari ya TOYOTA nihamie kwa mjerumani...sasa kwenye pita pita zangu mitandaoni nikakutana na Mnyama AUDI A4.

Nahitaji ufahamu wa garage nzuri na upatikanaji wa spear wa hii Gari kabla kabla sijalinunua.
Shukrani.
Hongera mkuu.
Ungetuambia umetoka Toyota gari gani na mwaka gani na unataka uende Audi A4 ya mwaka upi?

Kwa kuangalia picha ulioweka, kama ndio unayotaka ni Audi A4 B6 (2001 hadi 2006).

Bei ya kuagizia CIF ni kama Mil 9 hivi unaweza pata chini au juu kidogo ya hapo.

TRA ushuru watakudai kama Mil 7-8 kutokana na ukubwa wa engine na mwaka hiyo ni kama wastani.

Audi ni reliable na comfortable sana kuendesha. So kama umetoka kwenye magari ya kawaida ya Toyota uta experience utofauti sana kwenye handling, comfortability, performance na kila kitu.

Pia utaona utofauti kwenye gharama za uendeshaji (running costs). Vitu kuanzia spare parts na oil na mafundi vitabadirika sana bei. Brake pads ulizokua unanunua pair kwa elfu 50 sasa utaanza kwa laki na nusu au zaidi. Ingawa zitakua zinakaa muda mrefu zaidi.

Kama uchumi sio issue, tafuta Audi A4 B7 (2004 hadi 2009) au B8 (2008 hadi 20016). Hizi ila ushuru wake umechamgamka sana.

Picha zaidi cheki Google ila hapo chini hiyo Wagon ni A4 B6 hafu hiyo white sedan ni A4 B7 na hiyo sedan silver ni A4 B8.

Kama issue ni Germany, fikiria pia kuhusu BMW E46 na Mercedes Benz C Class.

View attachment 878856
1280px-2006-2008_Audi_A4.jpg
1280px-2009_Audi_A4_(8K_MY10)_2.0_TDI_sedan_(2015-07-09)_01.jpg
 
Mkuu kwema nimekuwa nakufuatilia sana huku jukwaani kuhusu magari hakika unayafahamu hongera kwa hilo

Mimi naomba ushauri wako na plan kutafuta usafiri nahitaji gari na ndio ya kwanza sasa nimesikia wengi wakisema ili uzoee gari nunua used iliyochoka hapa tz ili nipate uzoefu ila bado sitaki kuamini hivyo . So nataka unishauri gari gani nikiagiza iwe toyota ama nyingine, SUV ndio priority mkuu ila nazingatia hivi isiwe spana mkononi na imudu long trip mfano dsm to arusha

budget ni tzs 12ml-15 ml

Thank you in advance

Hongera mkuu.
Ungetuambia umetoka Toyota gari gani na mwaka gani na unataka uende Audi A4 ya mwaka upi?

Kwa kuangalia picha ulioweka, kama ndio unayotaka ni Audi A4 B6 (2001 hadi 2006).

Bei ya kuagizia CIF ni kama Mil 9 hivi unaweza pata chini au juu kidogo ya hapo.

TRA ushuru watakudai kama Mil 7-8 kutokana na ukubwa wa engine na mwaka hiyo ni kama wastani.

Audi ni reliable na comfortable sana kuendesha. So kama umetoka kwenye magari ya kawaida ya Toyota uta experience utofauti sana kwenye handling, comfortability, performance na kila kitu.

Pia utaona utofauti kwenye gharama za uendeshaji (running costs). Vitu kuanzia spare parts na oil na mafundi vitabadirika sana bei. Brake pads ulizokua unanunua pair kwa elfu 50 sasa utaanza kwa laki na nusu au zaidi. Ingawa zitakua zinakaa muda mrefu zaidi.

Kama uchumi sio issue, tafuta Audi A4 B7 (2004 hadi 2009) au B8 (2008 hadi 20016). Hizi ila ushuru wake umechamgamka sana.

Picha zaidi cheki Google ila hapo chini hiyo Wagon ni A4 B6 hafu hiyo white sedan ni A4 B7 na hiyo sedan silver ni A4 B8.

Kama issue ni Germany, fikiria pia kuhusu BMW E46 na Mercedes Benz C Class.

View attachment 878856View attachment 878857View attachment 878858
 
Wakuu,naomba msaada wa kujuzwa zaidi kuhusu hii gari AUDI A3, kwa waliotumia au kujua zaidi kabla sijafanya maamuzi ya kununua. Msaada plz.
 
Habari zenu.

Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari AUDI A3 2.0 TDI, naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo.

- Ubora
- Upatikanaji wa spare
- Na changamoto za hii gari zikoje?

Nimeipenda nataka kuichukua. Ndio gari yangu ya kwanza itakuwa kama nikifanikiwa.

20191124_171152.png
20191124_171137.png
20191124_171109.png


Asanteni.
 
Habari zenu.

Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari AUDI A3 2.0 TDI, naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo.

- Ubora
- Upatikanaji wa spare
- Na changamoto za hii gari zikoje?

Nimeipenda nataka kuichukua. Ndio gari yangu ya kwanza itakuwa kama nikifanikiwa.

View attachment 1271306View attachment 1271307View attachment 1271308

Asanteni.
Spare zipo. Diesel engine inahitaji service sahihi muda sahihi. Haina shida gari imara.
 
Kuna Hatchback, Sportback, Convertible na Saloon.

Chukua Hatchback ina muonekano mzuri zaidi. Pia jitahidi uchukue kuanzia ya 2003 kuja juu.
 
Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
Naomba kufahanu aina gani kati ya hizo kwa maana ya 2.0fsi, 1.9 tdi na 1.8T ni Aud A4 nzuri
 
AUDI A4



Audi ni brand ambayo imundwa kutoka ujerumani european car ,ambayo brand hii kwa muda mrefu sasa ipo bongo , wengi wanaogopa european car kutokana na gharama za kununua gari ziko juu lakini ukinunua unafurahia imekaza kila idara ,kuanzia usalama,mwendo speed ya kutosha ,uimara wa bodi lkn pia ipo corftable na ni luxury pia ,gari hii ina viti vitano kwa ndani uzalishaji wake ulianza mwaka 1994,upande wa umbo inakuja na maumbo mawili ambayo ni saloon na station wagon ,station wagoni inajulikana kwa jina la Avant

[emoji3533]Umbo la gari ni Saloon

[emoji3533]Extras:Sunroof

[emoji3533]Safety Features:ABS, Adaptive Cruise Control, [emoji3533]Adaptive Headlights, Audi Lane Assist, Audi Side [emoji3533]Assist, Curtain Airbags, EBD, Knee Airbags, side [emoji3533]airbags, SRS Airbags, Traction Control

[emoji3533]Exterior Features:Alloy Rims, Daytime Running [emoji3533]LIghts, Fog Lights

[emoji3533]Interior Features:Bluetooth Connectivity, Touch [emoji3533]Screen Entertainment System


MAELEZO

Hii ni gari maalumu ambayo imeundwa kwa ajili ya kutumiwa na watu wa tabaka la chini ukinunua gari hiii umemaliza kila kitu kwenye wese inanusa tu ,


Audi A4 ya mwaka 2014 inaangukia katika kizazi kinachoitwa B8 generation uzalishaji wake ulianza mwaka 2008 hadi 2016 kama ilivyo kawaida ya wajerumani kuoenda magari yenye umbo kubwa predecessors. Linapokuja swala la ufanisi hasa wa nguvu ya injini hapa tunaona makundi mawili ambayo yanajulikana kama Audi S4 na Audi RS4. A4 wanakuja na offer ya 2WD au 4WD( Known as Quattro)


2014 Audi A4 Engine Options


[emoji123]Petrol

1. The 1.8 Litre TFSI Petrol Engine

2. The 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol Engine

3. The 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol Engine

4. The 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Supercharged Petrol Engine

[emoji3533]Diesel

1. The 2.0 TDI Diesel Engine

2. The 2.0 TDI Quattro Diesel Engine

1. The 3.0 Litre TDI Quattro Diesel Engine


Ukiwa na gari za wababe wa teknolojia hakuna haja ya kuumiza kichwa maana maajabu yake yanasimuliwa mpk bablon,newyork ,cansablaka,colombia ,na kwa wala bata spain …...ni gari ambayo very economic sana lkn ina nguvu ya kutosha


[emoji123]Transmission

1. 6-Speed Manual Transmission

2. Multitronic CVT

3. Tiptronic


Kama unapenda kuiendesha kama sport car chukua manual yaani hapa timu alteza na subaru na mark x watakuwa hawakufati kabisa

Kama wewe upo vizuri mfukoni mstarabu sio bahili mfukoni chukua Triptronic yaaani hapa utanishukuru ila uijari sana kwene service hasa oil


Audi A4 Grades

Zipo nne lkn zote ni moto aisikwambie mtu


[emoji3533]Audi A4 SE – Toleo hili ni basic grade linakuja na size ya 15-Inch alloy rims, manual AC, Bluetooth, plain steering wheel na halogen clear headlights.


[emoji3533]Audi A4 SE Technik – toleo hili linakuja na nyonheza ya front rear parking sensors, cruise control na standard suspension


[emoji3533]Audi A4 S Line – Toleo hili ni sports grade linakuja na nyongeza ya 18-Inch alloy rims, sports suspension and S Line badging


[emoji3533]Audi A4 Black Edition – Toleo hili ni la wenye pesa zao grades improves on the S Line grade by adding matte black finishing, alluminium pedals, flat bottomed steering wheel and piano black inserts on the dashboard.


2014 Audi A4 Interior

Legroom and Space

Kwa upande wa ndani wa gari hii ukifungua mlango tegemea kuona kukutana na viti ambavyo ni comfortable ,nafasi ya kutosha ya kuweka miguu

[emoji3533]first row, legroom yake iko poa sana great for both driver and passenger ikiwa na nafasi ya kutosha desired.

[emoji3533]second raw, upande wa legroom inafanana na viti vya mwanzo the seats are well elevated and extra padded


[emoji91]Extras: Sunroof, Bang and Olufsen sound system


[emoji91]2014 Audi A4 Safety Features: SRS airbags, knee airbags, side airbags, curtain airbags, ABS, EBD, Traction Control, Audi Lane Assist, Audi Side Assist, Adaptive Headlights, Adaptive Cruise Control


2014 Audi A4 Fuel Consumption

Hapa ndipo utakubaliana na mimi kuwa mjerumani hakuwahi na haitakuja kutokea kakoseà wanajitahidi kukocopy timu x lkn wanachemka


[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Petrol fuel inatumia km21.2 Kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol fuel inatumia km : 20.0 Kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol fuel inatumia km : 20.4 Kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Petrol fuel inatumia km 16.0 Kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TDI Diesel fuel inatumia km 26.0 Kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 2.0 TDI Quattro Diesel fuel inatumia km : 24.6 kwa lita 1


[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TDI Quattro Diesel fuel inatumia km: 18.2 Kwa lita 1


Kama hauaminia andamana huyu ni myama Aud A4 ,ENGINE za dizel zinanikosha sana ziko fire asikwambie mtu hata petrol ni moto ,hapa ndio utakubalina na mm kwa dunia ya sasa CC za gar haxina uhusiano na ulaji wa mafuta watu wanaumiza vichwa maabara ili maisha yawe rahisi….mlio kariri endeleeni kukariri ila European car zinaraha yake



ACCELERETION

Cjui nielezeee au nipotezeee tu maaana engine ni nyingi mno kuzifafanua zoet ngoja nikufokeze engine chache



[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.6 sec.


[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.6 sec.


[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.2 sec.


[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 6.5 sec.


[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TDI Diesel accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 9.4 sec.


Kwa uchache engine nyingine sizielezei mtanisamehe sana muda nawahi uwanja wa mkapa simba nguvu moja [emoji123]


[emoji3533]Audi A4 Fuel Tank Capacity: 61 Litres


[emoji91][emoji91]Audi A4 Ground Clearance

2014 Audi A4 uvungu wake ni ground clearance of 4.2 inches(108mm) ipo chini sana ili kuipa balance inapokuwa inapaa kwenye barabara[emoji23][emoji23][emoji23] hata ikitokea ajali isiweze kuanguka kifo cha mende ...ukinunua usifanye maujanja ya kuinua utaharibu kabisa kwa huyu mnyama


[emoji91][emoji91]Audi A4 Stability and Handling


Hapanacha ninipime mapema nigonge cha mkoloni andaa kamusi yako english to kiswahili


The Audi A4 drives and handles superbly with no hint of instability even at high speed. The ground clearance is an issue on this car and you have to maneuver carefully on speed bumps and potholes


AUDI RELIABILITY

hii gari haina huruma kabisa kwa mtu ambaye ni bahili hapendi kuihudumia kama inavyotakiwa kama kufanya service kwa wakati ,kuweka oil sahihi ...ukiwa bahili kwa gari hii tegemea kuona haya matatizo kwenye gari lako

[emoji3549]1. Engine Warning Light

[emoji3549]2. Transmission problems

[emoji3549]3. Engine Failure

[emoji3549]4. Sensor problems


2014 Audi A4 Competitors: wa gari hii ni Toyota Mark X, Subaru Legacy, Mazda Atenza, BMW 3 Series, Mercedes C-Class, Subaru Outback na VW Passat


BEI YAKE NI MILION 24 UKIAGIZA JAPANI JUMLA NA USAJILI UNAIKAMATA


Kwa nini ununue gari hiii

1. Spacious

2. Executive design

3. A wide choice of engines
 
Back
Top Bottom