serveus_kamala
New Member
- Sep 19, 2020
- 2
- 1
Umeua mjomba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii umeandaa mwenyewe?AUDI A4
Audi ni brand ambayo imundwa kutoka ujerumani european car ,ambayo brand hii kwa muda mrefu sasa ipo bongo , wengi wanaogopa european car kutokana na gharama za kununua gari ziko juu lakini ukinunua unafurahia imekaza kila idara ,kuanzia usalama,mwendo speed ya kutosha ,uimara wa bodi lkn pia ipo corftable na ni luxury pia ,gari hii ina viti vitano kwa ndani uzalishaji wake ulianza mwaka 1994,upande wa umbo inakuja na maumbo mawili ambayo ni saloon na station wagon ,station wagoni inajulikana kwa jina la Avant..
Ndio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila sikuMkuu hii umeandaa mwenyewe?
Kama ndiyo. Hongera!
Mi ni kija huwa nataka kuufunga uzi kabisa siachi kituUmeua mjomba...
PamojaNdio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila siku
Kwenye insta je, tunakupataje?Ndio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila siku
KULE UTANIFAHAMU MAANA NNINA ID HALISI KABISAKwenye insta je, tunakupataje?
Kanyegelo?KULE UTANIFAHAMU MAANA NNINA ID HALISI KABISA
Hamna hii na huku kule natumiaa jina halisi siwez kuliexpose hapaKanyegelo?
Umesema iko chibi Sana kwahiyo kwenye rough road haifai kabisa?AUDI A4
Audi ni brand ambayo imundwa kutoka ujerumani european car ,ambayo brand hii kwa muda mrefu sasa ipo bongo , wengi wanaogopa european car kutokana na gharama za kununua gari ziko juu lakini ukinunua unafurahia imekaza kila idara ,kuanzia usalama,mwendo speed ya kutosha ,uimara wa bodi lkn pia ipo corftable na ni luxury pia ,gari hii ina viti vitano kwa ndani uzalishaji wake ulianza mwaka 1994,upande wa umbo inakuja na maumbo mawili ambayo ni saloon na station wagon ,station wagoni inajulikana kwa jina la Avant....
1. Spacious
2. Executive design
3. A wide choice of engines
DominiqueHamna hii na huku kule natumiaa jina halisi siwez kuliexpose hapa
Audi A4 vs BMW 320i ipi chombo kali kwa speed, comfortability, fuel consumption etcAUDI A4
Audi ni brand ambayo imundwa kutoka ujerumani european car ,ambayo brand hii kwa muda mrefu sasa ipo bongo , wengi wanaogopa european car kutokana na gharama za kununua gari ziko juu lakini ukinunua unafurahia imekaza kila idara ,kuanzia usalama,mwendo speed ya kutosha ,uimara wa bodi lkn pia ipo corftable na ni luxury pia ,gari hii ina viti vitano kwa ndani uzalishaji wake ulianza mwaka 1994,upande wa umbo inakuja na maumbo mawili ambayo ni saloon na station wagon ,station wagoni inajulikana kwa jina la Avant
[emoji3533]Umbo la gari ni Saloon
[emoji3533]Extras:Sunroof
[emoji3533]Safety Features:ABS, Adaptive Cruise Control, [emoji3533]Adaptive Headlights, Audi Lane Assist, Audi Side [emoji3533]Assist, Curtain Airbags, EBD, Knee Airbags, side [emoji3533]airbags, SRS Airbags, Traction Control
[emoji3533]Exterior Features:Alloy Rims, Daytime Running [emoji3533]LIghts, Fog Lights
[emoji3533]Interior Features:Bluetooth Connectivity, Touch [emoji3533]Screen Entertainment System
MAELEZO
Hii ni gari maalumu ambayo imeundwa kwa ajili ya kutumiwa na watu wa tabaka la chini ukinunua gari hiii umemaliza kila kitu kwenye wese inanusa tu ,
Audi A4 ya mwaka 2014 inaangukia katika kizazi kinachoitwa B8 generation uzalishaji wake ulianza mwaka 2008 hadi 2016 kama ilivyo kawaida ya wajerumani kuoenda magari yenye umbo kubwa predecessors. Linapokuja swala la ufanisi hasa wa nguvu ya injini hapa tunaona makundi mawili ambayo yanajulikana kama Audi S4 na Audi RS4. A4 wanakuja na offer ya 2WD au 4WD( Known as Quattro)
2014 Audi A4 Engine Options
[emoji123]Petrol
1. The 1.8 Litre TFSI Petrol Engine
2. The 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol Engine
3. The 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol Engine
4. The 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Supercharged Petrol Engine
[emoji3533]Diesel
1. The 2.0 TDI Diesel Engine
2. The 2.0 TDI Quattro Diesel Engine
1. The 3.0 Litre TDI Quattro Diesel Engine
Ukiwa na gari za wababe wa teknolojia hakuna haja ya kuumiza kichwa maana maajabu yake yanasimuliwa mpk bablon,newyork ,cansablaka,colombia ,na kwa wala bata spain …...ni gari ambayo very economic sana lkn ina nguvu ya kutosha
[emoji123]Transmission
1. 6-Speed Manual Transmission
2. Multitronic CVT
3. Tiptronic
Kama unapenda kuiendesha kama sport car chukua manual yaani hapa timu alteza na subaru na mark x watakuwa hawakufati kabisa
Kama wewe upo vizuri mfukoni mstarabu sio bahili mfukoni chukua Triptronic yaaani hapa utanishukuru ila uijari sana kwene service hasa oil
Audi A4 Grades
Zipo nne lkn zote ni moto aisikwambie mtu
[emoji3533]Audi A4 SE – Toleo hili ni basic grade linakuja na size ya 15-Inch alloy rims, manual AC, Bluetooth, plain steering wheel na halogen clear headlights.
[emoji3533]Audi A4 SE Technik – toleo hili linakuja na nyonheza ya front rear parking sensors, cruise control na standard suspension
[emoji3533]Audi A4 S Line – Toleo hili ni sports grade linakuja na nyongeza ya 18-Inch alloy rims, sports suspension and S Line badging
[emoji3533]Audi A4 Black Edition – Toleo hili ni la wenye pesa zao grades improves on the S Line grade by adding matte black finishing, alluminium pedals, flat bottomed steering wheel and piano black inserts on the dashboard.
2014 Audi A4 Interior
Legroom and Space
Kwa upande wa ndani wa gari hii ukifungua mlango tegemea kuona kukutana na viti ambavyo ni comfortable ,nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
[emoji3533]first row, legroom yake iko poa sana great for both driver and passenger ikiwa na nafasi ya kutosha desired.
[emoji3533]second raw, upande wa legroom inafanana na viti vya mwanzo the seats are well elevated and extra padded
[emoji91]Extras: Sunroof, Bang and Olufsen sound system
[emoji91]2014 Audi A4 Safety Features: SRS airbags, knee airbags, side airbags, curtain airbags, ABS, EBD, Traction Control, Audi Lane Assist, Audi Side Assist, Adaptive Headlights, Adaptive Cruise Control
2014 Audi A4 Fuel Consumption
Hapa ndipo utakubaliana na mimi kuwa mjerumani hakuwahi na haitakuja kutokea kakoseà wanajitahidi kukocopy timu x lkn wanachemka
[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Petrol fuel inatumia km21.2 Kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol fuel inatumia km : 20.0 Kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol fuel inatumia km : 20.4 Kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Petrol fuel inatumia km 16.0 Kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TDI Diesel fuel inatumia km 26.0 Kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 2.0 TDI Quattro Diesel fuel inatumia km : 24.6 kwa lita 1
[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TDI Quattro Diesel fuel inatumia km: 18.2 Kwa lita 1
Kama hauaminia andamana huyu ni myama Aud A4 ,ENGINE za dizel zinanikosha sana ziko fire asikwambie mtu hata petrol ni moto ,hapa ndio utakubalina na mm kwa dunia ya sasa CC za gar haxina uhusiano na ulaji wa mafuta watu wanaumiza vichwa maabara ili maisha yawe rahisi….mlio kariri endeleeni kukariri ila European car zinaraha yake
ACCELERETION
Cjui nielezeee au nipotezeee tu maaana engine ni nyingi mno kuzifafanua zoet ngoja nikufokeze engine chache
[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.6 sec.
[emoji91]2014 Audi A4 1.8 Litre TFSI Quattro Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.6 sec.
[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TFSI Quattro Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 8.2 sec.
[emoji91]2014 Audi A4 3.0 Litre TFSI Quattro V6 Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 6.5 sec.
[emoji91]2014 Audi A4 2.0 Litre TDI Diesel accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 9.4 sec.
Kwa uchache engine nyingine sizielezei mtanisamehe sana muda nawahi uwanja wa mkapa simba nguvu moja [emoji123]
[emoji3533]Audi A4 Fuel Tank Capacity: 61 Litres
[emoji91][emoji91]Audi A4 Ground Clearance
2014 Audi A4 uvungu wake ni ground clearance of 4.2 inches(108mm) ipo chini sana ili kuipa balance inapokuwa inapaa kwenye barabara[emoji23][emoji23][emoji23] hata ikitokea ajali isiweze kuanguka kifo cha mende ...ukinunua usifanye maujanja ya kuinua utaharibu kabisa kwa huyu mnyama
[emoji91][emoji91]Audi A4 Stability and Handling
Hapanacha ninipime mapema nigonge cha mkoloni andaa kamusi yako english to kiswahili
The Audi A4 drives and handles superbly with no hint of instability even at high speed. The ground clearance is an issue on this car and you have to maneuver carefully on speed bumps and potholes
AUDI RELIABILITY
hii gari haina huruma kabisa kwa mtu ambaye ni bahili hapendi kuihudumia kama inavyotakiwa kama kufanya service kwa wakati ,kuweka oil sahihi ...ukiwa bahili kwa gari hii tegemea kuona haya matatizo kwenye gari lako
[emoji3549]1. Engine Warning Light
[emoji3549]2. Transmission problems
[emoji3549]3. Engine Failure
[emoji3549]4. Sensor problems
2014 Audi A4 Competitors: wa gari hii ni Toyota Mark X, Subaru Legacy, Mazda Atenza, BMW 3 Series, Mercedes C-Class, Subaru Outback na VW Passat
BEI YAKE NI MILION 24 UKIAGIZA JAPANI JUMLA NA USAJILI UNAIKAMATA
Kwa nini ununue gari hiii
1. Spacious
2. Executive design
3. A wide choice of engines
usidanganyike na gari za sinapore ....zina review mbovu sana usome feedback za waliokwisha nunua kwenye reputable websitesKuna mshakji ameniambia ye ameagiza bmw 320i m-spot huko Singapore nikapata mashaka khs quality za gari za huko Singapore chief
Achana nayo. Ukilinunua imekula kwako. Ni ndoa ya kikristo.Habarini za leo JF,
Naombeni msaada wenu,
Mwenye kuijua vizuri AUDI A4 hii gari nisije nikaingia kichwa kichwa nataka kujua mapungufu yake makubwa, je spear zinapatikana na ubora wake pia najua humu kuna watu wa aina tofauti wenye ujuzi.
Naombeni msaada wenu.
View attachment 415388