Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Kwamba wasingapore hua hawatunzi vizuri magari mkuu au
Yeah...najua watu wengi sana wameleta gari from Singapore hizi Euro makes wamekiona cha moto. Wapo ambao engine zimekufa ndani ya muda mfupi,wapo ambao gearbox zimekufa kabla hata ya kufika nyumbani. Sasa zile ambazo vitu vidogo kama water pump au radiator zinavuja hazihesabiki.
Gari za Singapore nzuri sna kwa muonekano ila ubora uko chini sana. Ukitaka gari za Euro nje ya Euro chukua Japan.
 
Tena zile E class za 2012- wanazo nyingi zinavutia sana. Usithubutu, chukua Japan au Europe kwenyewe.
Nafikiri pia huenda Singapore kuna uhuni wanao fanya kwenye gari zao. Unakuta E Class imesimama vibaya alafu bei yake sasa hadi unaogopa 😀😀😀 na unakuta hata kwa uzaji, wanaweka kabisa maelezo kuwa hawana uhakika na gari za singapore lolote likitokea wao hawa husiki, Mechanical parts za gari nyingi kutoka singapore wengi hulia. Gari za uhakika used Japan
 
Halafu zote unakuta mileage 40,000km ukikuta ina mileage kubwa 50,000km. Afadhali umejua mapema.
 
Yeah...najua watu wengi sana wameleta gari from Singapore hizi Euro makes wamekiona cha moto. Wapo ambao engine zimekufa ndani ya muda mfupi,wapo ambao gearbox zimekufa kabla hata ya kufika nyumbani. Sasa zile ambazo vitu vidogo kama water pump au radiator zinavuja hazihesabiki.
Gari za Singapore nzuri sna kwa muonekano ila ubora uko chini sana. Ukitaka gari za Euro nje ya Euro chukua Japan.
Duuh aisee mimi nilikua nazipenda sana gari za singapore haswa BMW 3 Series zao zinapendeza sana kwa macho...
 
Na gari zao huwa wana weka picha nyingi sana unakuta picha zaidi ya 55 na zingine huwa zinafika hata 117, kwa mtu anae angali picha bila kupata info zingine anaumia, unakuta gari bado inang'aa hatari nje na ndani
Tena zile E class za 2012- wanazo nyingi zinavutia sana. Usithubutu, chukua Japan au Europe kwenyewe.
Nipe link inayoaminika ya kununua gari singapore yaani kama befoward kwa japan.
 
😀😀😀 Singapore hawaaminiki mkuu pia sina link ya singapore na hata nikiona gari location singida naruka chap, kama unataka gari nje ya japan, chukua za Dubai na bei zapo zipo poa na hawana magumashi kama Singapore.
 
4th generation Audi A4 B8 ilianza kuuzwa 2009 tajiri.

Sorry mkuu nina swali: Mkisemaga model mpya mnamaanishaga nini? Maana kuna model nyingine inafuatia ya 2016 hapo (B9).

Edited: Hafu nadhani A4 anapambana na 3 series na C class sio na Legacy. Hii model inapambana na 3 series E90 (2006-2013) au Benz C Class 3rd generation W204 (2007-2015).
Shukrani kwa nyongeza nzuri ya mawazo boss. Tukisema model mpya tunakua tunalenga uhalisia wa sisi watanzania kwamba tumetoka kumiliki zaidi gari zipi na sasa tumeingia gari zipi...mfano ukizungumzia Noah au harrier old models wengi wanaelewa ni zile za miaka ya 1990 mwishoni mpaka mwanzo wa miaka ya 2000. New model kwa watanzamia wengi imekua zile zilizoanzia 2003 mpaka 2009 ingawa ukizungumzia new model halisi zipo mpaka za miaka hii ya hivi karibuni.

kuizungumzia legacy ni kwa sababu tulio wengi tumekua tukikwepa kabisa gari za ulaya na kwa waliokuja ofisini kwetu kutaka Audi A4 au Legacy hua wanazunguka hapo kwenye hizo gari 2 kwa sababu wanazoziona wao.
 
Hapo nimekusoma boss. Naipenda sana hii model.
 
hakuna siku maalum boss ila tukipata nafasi mda wowote tutakuwekea maelezo ya hizi Toyota Kubwa kubwa pia...Shukrania kua nasi na usichoke kutufatilia
Tafadhali sana usianze na kubwa kubwa,anza na crossovers.Nani wa kununua V8?au prado?
 
Back
Top Bottom