RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hizo sina.DEALER: vp kuhusu hii mashine bluebird sylphy, naitamani sana hasa ya mwaka 2014, spare unazo pia.....??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sina.DEALER: vp kuhusu hii mashine bluebird sylphy, naitamani sana hasa ya mwaka 2014, spare unazo pia.....??
Naagiza UK. Njoo ununue kwangu nikupunguzie usumbufu wa kuagiza.Mkuu spare za VW unaagiza wapi? I own a VW ...it's a real machine kwa kweli. I don't regret to have bought it. Mara nyingi spare naagiza nje. But kiukweli it is worthy it. Achana na hizi porojo kwamba spare hazipatikani. Kama alivyosema mwenzetu humu kikubwa nunua aina ya gari unayoweza kuimudu kiuchumi.
duuh poapoa, ila kwa ufahamu wako unadhani hapa mjn znaweza patikana maeneo ganiHizo sina.
Kisangani au Mastercard...kuna duka lingine pale msimbazi street jina limenitoka. Ila 2014 bado mpya mpya unaweza kulazimika kwenda kwa dealer wa Nissan.duuh poapoa, ila kwa ufahamu wako unadhani hapa mjn znaweza patikana maeneo gani
Poapoa bro, kazi njema....Kisangani au Mastercard...kuna duka lingine pale msimbazi street jina limenitoka. Ila 2014 bado mpya mpya unaweza kulazimika kwenda kwa dealer wa Nissan.
Weee kuna gar spear zinasumbua kweli
Yaan mpaka uagize na ukiagiza wakakosea imekula kwako
Kuna ninaowajua wameagiza vifaa vinakuja tofaut af unasubiri sanaa
Ila ni vigum hyo gari kuharibika maana vyuma vyake ni vigum kama subaru2
Hiyo 260 utaenseshea wapi na barabara zetu na vibao vya 50 kila kona ?
Upo 180kph na kuna mtu anaku overtake kama hakuoni vile af sehemu ambayo sio, kuna watu wana hatari sana.
Mnazi mmoja kama unaenda mtaa wa Kisutu Mwarabu mmoja anaitwa Nathoo ana Spair zote unazotaka wewe za most of European cars VW, Audi, Peugeot, Renault nk.Kisangani au Mastercard...kuna duka lingine pale msimbazi street jina limenitoka. Ila 2014 bado mpya mpya unaweza kulazimika kwenda kwa dealer wa Nissan.
mkuu tatizo lako unapendA kutafsri kilA nenO katikA sentence ,wakati mwingine jifanye umeelewA tu japokuwA kwenye hlo neno kuna makosa lakni tuasume tumeelewaA lengo lake ni nn.Hizo gari zenye mikuki zikoje ?
Niliemjibu kaulizia spare za nissan, soma vizuri.Mnazi mmoja kama unaenda mtaa wa Kisutu Mwarabu mmoja anaitwa Nathoo ana Spair zote unazotaka wewe za most of European cars VW, Audi, Peugeot, Renault nk.
[emoji3][emoji3][emoji3] Hilo nalo neno!Hiyo 260 utaendeshea wapi na barabara zetu na vibao vya 50 kila kona ?
Hakuna kiwanda kinachozalisha magari yenye mapungufu kutumika, spare zisiwepo duniani, isipokuwa hofu yetu sisi tumekariri aina ya magari kununua kwamba spare, mafuta, durability, n.k na sababu zingine za kiuchumi. Niseme hivi kama magari ya toyota ni cheap na easy to maintain yakiharibika kwanini bado yapo kwenye magogo na mawe huko kwenye magereji !? Jenga itikadi ya kununua gari ulipendalo na unaloweza kumudu kulihudumia kufuatana na kipato chako kilivyo. Ni mtizamo tu japo.....
Watalaam wa magari wanakuja
Ata Nissan zipoNiliemjibu kaulizia spare za nissan, soma vizuri.
Sheli unachukua mafuta ya jenereta?TUKUTANE SHELI TU, MAANA ROAD UMESHANIACHA
TUKUTANE SHELI TU, MAANA ROAD UMESHANIACHA