Huo ni ufahamu wako sio wangu.Ongeza...Scania na suzuki utakua umepatia zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ufahamu wako sio wangu.Ongeza...Scania na suzuki utakua umepatia zaidi
kweli kaka ila kuna magari spear kupata mtihani utahaingaika ilala yote maduka yote hii gari natamani sana kuwanayo ila hofu spear tuHakuna kiwanda kinachozalisha magari yenye mapungufu kutumika, spare zisiwepo duniani, isipokuwa hofu yetu sisi tumekariri aina ya magari kununua kwamba spare, mafuta, durability, n.k na sababu zingine za kiuchumi. Niseme hivi kama magari ya toyota ni cheap na easy to maintain yakiharibika kwanini bado yapo kwenye magogo na mawe huko kwenye magereji !? Jenga itikadi ya kununua gari ulipendalo na unaloweza kumudu kulihudumia kufuatana na kipato chako kilivyo. Ni mtizamo tu japo.....
Watalaam wa magari wanakuja
Hakuna gari isiyokuwa na spear. Ukishaimiliki hiyo gari utajua pa kupata spear.kweli kaka ila kuna magari spear kupata mtihani utahaingaika ilala yote maduka yote hii gari natamani sana kuwanayo ila hofu spear tu
nimekusoma mkuu ila nitafanya risech kufahamu zaidiHakuna gari isiyokuwa na spear. Ukishaimiliki hiyo gari utajua pa kupata spear.
Na uzuri wa gari za mjerumani wana spea makini.
mhaa unataka kuniingiza chaka mkuu ila audi gari moja nzuri alafu inasped mfano hioo sped 260Sheria ya mtandao.
Siku hizi hakuna kashfa.
Ni kusifu tu.
Kanunue.
Hiyo 260 utaendeshea wapi na barabara zetu na vibao vya 50 kila kona ?mhaa unataka kuniingiza chaka mkuu ila audi gari moja nzuri alafu inasped mfano hioo sped 260
Mdanganyeni mwenzenu, Audi ni gari nzuri ila ukweli lazima usemwe kwamba spea zake ni adimu Bongo kwakuwa gari hizo sio nyingi, mimi nilikuwaga mbishi hivyohivyo nilikuwa naforce kununua gari ya Honda Fit kwavile nilipenda sana muonekano wake ila kila mtaalam wa magari nikienda anashauri niachane nazo maana nitasumbuka spea, ikabidi niangukie hukohuko kwenye toyota maana hakuna namnaHakuna kiwanda kinachozalisha magari yenye mapungufu kutumika, spare zisiwepo duniani, isipokuwa hofu yetu sisi tumekariri aina ya magari kununua kwamba spare, mafuta, durability, n.k na sababu zingine za kiuchumi. Niseme hivi kama magari ya toyota ni cheap na easy to maintain yakiharibika kwanini bado yapo kwenye magogo na mawe huko kwenye magereji !? Jenga itikadi ya kununua gari ulipendalo na unaloweza kumudu kulihudumia kufuatana na kipato chako kilivyo. Ni mtizamo tu japo.....
Watalaam wa magari wanakuja
Mpaka sasa namiliki Honda la 1996 Comfortable Reliable Vehicle, usiogope spea, ndio maana nimesema nunua gari linalomechi uchumi wako kuliendesha na service zake. Audi ni gari pekee na bei yake sokoni ameiona. Liweke bwana usiogope.Mdanganyeni mwenzenu, Audi ni gari nzuri ila ukweli lazima usemwe kwamba spea zake ni adimu Bongo kwakuwa gari hizo sio nyingi, mimi nilikuwaga mbishi hivyohivyo nilikuwa naforce kununua gari ya Honda Fit kwavile nilipenda sana muonekano wake ila kila mtaalam wa magari nikienda anashauri niachane nazo maana nitasumbuka spea, ikabidi niangukie hukohuko kwenye toyota maana hakuna namna
Ukishanunua nitafute. Mimi na supply spare parts za hayo magari.Habarini za leo JF,
Naombeni msaada wenu,
Mwenye kuijua vizuri AUDI A4 hii gari nisije nikaingia kichwa kichwa nataka kujua mapungufu yake makubwa, je spear zinapatikana na ubora wake pia najua humu kuna watu wa aina tofauti wenye ujuzi.
Naombeni msaada wenu.
View attachment 415388
Wewe tu ulikuwa hujui wapi upate spares. Mimi nauza spares za hayo magari nina vitu vingi sana vya audi a4.Mdanganyeni mwenzenu, Audi ni gari nzuri ila ukweli lazima usemwe kwamba spea zake ni adimu Bongo kwakuwa gari hizo sio nyingi, mimi nilikuwaga mbishi hivyohivyo nilikuwa naforce kununua gari ya Honda Fit kwavile nilipenda sana muonekano wake ila kila mtaalam wa magari nikienda anashauri niachane nazo maana nitasumbuka spea, ikabidi niangukie hukohuko kwenye toyota maana hakuna namna
basi poa kaka nilikuwa na hofu spear tu kama zipo aina shida nitakutafuta in box ili tupeane mawasiliano mkuuWewe tu ulikuwa hujui wapi upate spares. Mimi nauza spares za hayo magari nina vitu vingi sana vya audi a4.
1.service parts zote eg oil filter,air filter,fuel filter,pollen filter
2.suspension parts zote eg shock absorbers,tie rod end,rack ends,control arms,stabilizer links,wishbone bushes
3.fuel pumps
4.water pump
5.mass air flow sensor
6.oxygen sensor
7.radiator
8.radiator fan
9.timing belt
10.cylinder head gasket
11.top cover gasket
12.spark plugs
13.ignition coil
14.expansion tank
15.cv joints
16.thermostat with housing
etc etc etc
Mkuu samahani. Nimeshindwa kuvumilia. Mwanzoni nilidhani ni typo lakini upo consistent sana. Siyo kwa nia mbaya. Tatizo Faiza Foxy kapotea sana siku hizi.basi poa kaka nilikuwa na hofu spear tu kama zipo aina shida nitakutafuta in box ili tupeane mawasiliano mkuu
Mkuu samahani. Nimeshindwa kuvumilia. Mwanzoni nilidhani ni typo lakini upo consistent sana. Siyo kwa nia mbaya. Tatizo Faiza Foxy kapotea sana siku hizi.
Spear = mkuki (aina mojawapo ya silaha)
Spare = kibadala (kama kwenye gari lako)