Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Audi A1 unaweza kuilezea ndugu au Q series Q1,Q2 zikoje
 

Attachments

  • BK015493_e78cf7.jpg
    38.1 KB · Views: 4
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
Engine ipi ni nzuri kati ya hizo mbili mkuu kwa mazingira ya Kibongo!?
 
kweli kaka ila kuna magari spear kupata mtihani utahaingaika ilala yote maduka yote hii gari natamani sana kuwanayo ila hofu spear tu
Kama unaweza kuagiza gari Japan why unaogopa kuagiza spear Japan? Gari ma Spare kipi kikubwa?
 
Kuna mshakji ameniambia ye ameagiza bmw 320i m-spot huko Singapore nikapata mashaka khs quality za gari za huko Singapore chief
Singapore ni Nchi ya Viwango vya Juu sana..First World Standards
 
Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?

Mkuu vipi spares za BMW X3 zinapatikana kwa urahisi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…