Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Jana bi mkubwa kanitumia voice note eti kuna mmoja wa wadau mr.Kuku amewaambia benki kuu wamezuia account za Mr.Kuku hivyo wasihofu pesa zao walizowekeza zipo lakini benki kuu wamezizuia kwa uchunguzi zaidi.Ni bahati huyu ni mzazi wangu.vinginevyo...... acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tuungane bas kamwali, huenda
tukawa mfano wa kuigwa 🤣🤣🤣
Sio mbaya ila si tutakuwa tumejificha kwenye discovery 4's na nyumba tunazo mpaka hio time ikifika.🤣🤣🤣 ama we unaonaje?
ni upatu.Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.
Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.
Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?
Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?
Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
Kama ni mwendo wa million 10/10 usishangae jamaa wakawa wamepiga hata B5 kisha wakapotelea kusikojulikana 😁😁😁Hahaha nani asiependa mambo mazuri,kwa mwendo huu wa mr kuku hizo discovery miezi 6 tu tumeshazipata,watu wame invest 10M na kuendelea aisee Kuna watu hawajui wapeleke wapi pesa zao tuwasaidie tu
Nina mwanagu ana ugulia chini kwa chini nakumbuka mwanzoni mwa January aliweka mil 4,nahisi anaweza akadata.
Mfikishie hizi taarifaNina mwanagu ana ugulia chini kwa chini nakumbuka mwanzoni mwa January aliweka mil 4,nahisi anaweza akadata.
Najua kishazipata ika kaamua augulie kimya kimya.Mfikishie hizi taarifa
kumbe pesa zilikuwa kwenye accounts nikafikiri zinazalisha kuku!Jana bi mkubwa kanitumia voice note eti kuna mmoja wa wadau mr.Kuku amewaambia benki kuu wamezuia account za Mr.Kuku hivyo wasihofu pesa zao walizowekeza zipo lakini benki kuu wamezizuia kwa uchunguzi zaidi.Ni bahati huyu ni mzazi wangu.vinginevyo...... acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo Yanakwenda Kasi