Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 751
- 559
Na zile promo za mende wa nyama kuuza China pia naona zinafanana na hizi.Wabongo hawajachacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na zile promo za mende wa nyama kuuza China pia naona zinafanana na hizi.Wabongo hawajachacha.
Tayari mradi umeshaingia mdudu.... account zimezuiliwa na serikali tayari.
Hao mende niliwahi kuulizia mbegu but sijajibiwa hadi leo!!Na zile promo za mende wa nyama kuuza China pia naona zinafanana na hizi.Wabongo hawajachacha.
Kwa maelezo yaliyopo shida sio Mr kuku, shida ni hujuma tu za wenye mamlaka, kama kitu kimefanyiwa uchunguzi wa awali na kuonekana kampuni haina shida kwanini msiachie waendelee kufanya kazi? Mwisho wa siku mali ya shambani itakufa yote kwa kukosa matunzo na hela za watu zitaishia juu kwa juu(wameshikilia account). Ni ngumu sana kuendelea nchi hii, jamaa kiukweli walikua wamejipanga, hata usipowekeza kwa pesa ukiwa mteja tu wa bidhaa zao kwa kununua kuku wengi na wewe kuuza walikua wanaokoa sana maana una uhakika wa kupata kuku kwa wakati bila longolongo.Acha masihara mkuu?
Hahahaaaa ila wabongo dahNa zile promo za mende wa nyama kuuza China pia naona zinafanana na hizi.Wabongo hawajachacha.
Hunajua haya maswala yamenifungua akili na kuona kumbe kuna uwezekano ukabuni mradi worth a million of bucks na ukafanya fund raising kwa kigezo cha "wekeza uvune faida mara mbili"
Thats very possible...Nadhani kwa kutumia mwamvuli wa Mwanasheria tunaweza buni kitu aisee. Tukabuni mradi wenye loopholes za sisi kuchomoka hata ikibidi kwa kusingizia Bima flani au vipengele vya mkataba then unaenda launch kitu. There are alot of lazy guys with money that can easily be fetched through proper plans.
Mpwa shukuru Mungu kutokujibiwa ndio salama yako!Hao mende niliwahi kuulizia mbegu but sijajibiwa hadi leo!!
Mzee Baba umeleta kitu chenyewe kabisa.Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.
Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.
Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?
Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?
Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
Kumbe wapo wengi sana.Mama yangu aliniambia nimtumie hela anataka kufanya mradi wa kuku bila kufuga.nilishangaa nikamdodosa kwa kina naye anajiuma uma tu. Refer kipeperushi hiko labda nitapata mwangaza maana kaomba dola 500 za Canada.
Naomba mwangaza.
View attachment 1388373
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupo kigamboni na hivyo usemavyo ni kweli na watu wengi wamewekeza pia anasema mradi ukiwekeza unakatia na bima kusudi kujikinga na hasara,wajumbe tusubiri walau walioanza watupe feedback...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! naanza kupata picha kwa mbalii. Naona wale wa mwanzo watakula faida ili kuwavuta wengine.Watu bana, yaani jambo linaonekana tu kwa macho ya kawaida kua hii ni Ponzi Scheme au Pyramid Scheme mtu bado unajiuliza maswali mara mbili mbili?
Hao wenye hiyo kuku farm kwa nini wasiuze kila walichonacho na wawashawishi ndugu zao wauze kila walichonacho wawekeze kwenye hiyo project wapige hela wawe familia tajiri zaidi? Au unadhani hao jamaa wa kuku farm wanawapenda sana kuliko wanavyowapenda ndugu zao? Kwamba waone fursa wasiwaambie ndugu zao waje kuwambia nyie? Uliwahi kuona wapi?
Kila siku humu tunatahadharisha kua ukiona unaitwa kwenye deal ujue wewe ndie deal, ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa. Wazungu husema when the deal is too good think twice. Hakuna hela inapatikana kwa haraka hivyo.
Ilikuja D9, Deci, Qnet, One coin, sijui vitu gani watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
Hao wa kuku farm wape muda mfupi utaona mada zao humu, ni jambo la muda tu.
Mkuu kwanini unasema hivyo.?
Umesema PointYes inawezekana kabisa in future lazima nifanye hii kitu,watu pesa wanazo ila hawajui wawekeze wapi ukija na idea nzuri utapata watu mpaka ushangae
Nina experience na hizi kampuni na nimetulia nikafanya tafiti za marketing plan zao,zipo ambazo ni legit na nyingine ni utapeli
Hii Mr kuku ni utapeli
Value of your money in exchange of what?kama ukiwekeza laki 7 exchange yake unapewa nini?hakuna pesa rahisi uweke na utulie usubiri ijizalishe [emoji3][emoji3]nashangaa kwanini watu hawaoni huu ni utapeli
Mwanzoni lazima wawalipe ili kujenga uaminifu baadae wataondoka na hela za watu na hakuna pa kuwapeleka
tukawa mfano wa kuigwa 🤣🤣🤣Yes inawezekana kabisa in future lazima nifanye hii kitu,watu pesa wanazo ila hawajui wawekeze wapi ukija na idea nzuri utapata watu mpaka ushangae
Nina experience na hizi kampuni na nimetulia nikafanya tafiti za marketing plan zao,zipo ambazo ni legit na nyingine ni utapeli
Hii Mr kuku ni utapeli
Value of your money in exchange of what?kama ukiwekeza laki 7 exchange yake unapewa nini?hakuna pesa rahisi uweke na utulie usubiri ijizalishe [emoji3][emoji3]nashangaa kwanini watu hawaoni huu ni utapeli
Mwanzoni lazima wawalipe ili kujenga uaminifu baadae wataondoka na hela za watu na hakuna pa kuwapeleka
Natanguliza pole on behalf of wawekezaji!Kwa maelezo yaliyopo shida sio Mr kuku, shida ni hujuma tu za wenye mamlaka, kama kitu kimefanyiwa uchunguzi wa awali na kuonekana kampuni haina shida kwanini msiachie waendelee kufanya kazi? Mwisho wa siku mali ya shambani itakufa yote kwa kukosa matunzo na hela za watu zitaishia juu kwa juu(wameshikilia account). Ni ngumu sana kuendelea nchi hii, jamaa kiukweli walikua wamejipanga, hata usipowekeza kwa pesa ukiwa mteja tu wa bidhaa zao kwa kununua kuku wengi na wewe kuuza walikua wanaokoa sana maana una uhakika wa kupata kuku kwa wakati bila longolongo.
Waliowekeza wajiandae kufa Kwa presha, Tuliwaambia🙄🙄🙄Tayari mradi umeshaingia mdudu.... account zimezuiliwa na serikali tayari.
Eti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tokea nipigwe laki nane yangu ya DECI na CCM...... Sitakaa nishawishike na upuuzi huu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata biashara uione nzuri kiasi gani, kama haizingatii sheria basi ni haramu.Kwa maelezo yaliyopo shida sio Mr kuku, shida ni hujuma tu za wenye mamlaka, kama kitu kimefanyiwa uchunguzi wa awali na kuonekana kampuni haina shida kwanini msiachie waendelee kufanya kazi? Mwisho wa siku mali ya shambani itakufa yote kwa kukosa matunzo na hela za watu zitaishia juu kwa juu(wameshikilia account). Ni ngumu sana kuendelea nchi hii, jamaa kiukweli walikua wamejipanga, hata usipowekeza kwa pesa ukiwa mteja tu wa bidhaa zao kwa kununua kuku wengi na wewe kuuza walikua wanaokoa sana maana una uhakika wa kupata kuku kwa wakati bila longolongo.