Wadau na wanasheria naomba mnisaidie jambo hili kisheria

Wadau na wanasheria naomba mnisaidie jambo hili kisheria

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Kuna dada yangu mmoja alinunua kiwanja miaka ya 96 hivi na aliuziwa na mzee mwenye hilo shamba pamoja na mtoto wake wa kiume ambapo kwa sasa wote ni marehemu. Leo hii ndugu wanaanza kujitokeza na kusema hawamtambui sister katika kile kiwanja na aliuziwaje na wanasema ikiwezekana sister apigiwe hesabu na ahamekatika kile kiwanja ikishindikana watapanda mahakaman ukizingatia sister ameshajenga katika lile eneo na mpaka sasa ni miaka 20 imepita na baada ya wahusika kufariki ndio ndugu wanaanza kujitokeza. Naomba mnisaidie hapo sister ana haki gani na kwa vile walisema watampigia hesabu ahame pale utaratibu unakuwaje hapo kwa kile kiwanja kitapigiwa hesabu ya thamani ya kiwanja cha sasa au zamani?? Na hesabu yenyewe ni pamoja na nyumba na thamani nyingine????

Naomba mnisaidie kwa hili
 
Kama ana nyaraka na mashahidi wapo apo akuna tatizo awawezi kukichukua
 
Uyu watamzingua kama hatojisimamia. Land act imetaja kuwa ukiacha ardhi miaka kama ishirini bila ya kukiendeleza tayari utahesabika umekitelekeza ivo mmiliki mpya atakuwa na haki. Ikumbukwe njia mojawapo ya acquisition of land ni clearing virgin land na njia ya kukipoteza kiwanja ni pamoja na abandonment.

Wataanzaje kukidai? Alaf wao wanapataje substantial interest?
Mengine watasaidia wanasheria ila sioni uwezekano wa kunyanganywa iyo ardhi.
 
atasaidiwa na law of limitation kwamba mtu akikaa ktk ardhi kwa zaidi ya miaka 12 na majirani wakahisi ni ardhi yake baada ya kuonekana akiifanyia usafi,kulima nk bila kulalamikiwa au kubuguziwa na mtu tayari atahesabiwa ni ardhi yake. na pia kama ana documents nashahidi awe na amani
 
Uyu watamzingua kama hatojisimamia. Land act imetaja kuwa ukiacha ardhi miaka kama ishirini bila ya kukiendeleza tayari utahesabika umekitelekeza ivo mmiliki mpya atakuwa na haki. Ikumbukwe njia mojawapo ya acquisition of land ni clearing virgin land na njia ya kukipoteza kiwanja ni pamoja na abandonment.

Wataanzaje kukidai? Alaf wao wanapataje substantial interest?
Mengine watasaidia wanasheria ila sioni uwezekano wa kunyanganywa iyo ardhi.

wameanza kudai baada ya kuona pamejengwa sas sijui wanaitaka na hiyo nyumba maana wamekuwa wakimsumbua sana
 
wameanza kudai baada ya kuona pamejengwa sas sijui wanaitaka na hiyo nyumba maana wamekuwa wakimsumbua sana

Nionavyo akipata msimamizi mzuri haki inapatkana. Pole
 
Mwambie asiwe na wasiwasi hakipotei kitu hapo ilhali Nyaraka zote anazo.... Vinginevyo labda iwe tofauti!
 
Kama watamfikisha mahakamani, atatakiwa kuprove vifuatavyo.
1. Jinsi alivyoipata hiyo ardhi (in this case ni kununua)
2. Kama muuzaji alikua na good title over that land (alikua mmiliki halali)
3. Aliiendelezeaje hiyo ardhi na je katika kipindi cha umiliki wake hajawahi kusumbuliwa na mtu kuhusu hicho kiwanja?

Aandae vyema majibu kwa maswali hayo, itasaidia kumuweka pazuri
 
huko mbali sana adverse possession itaprevail ikisaidiwa na law of limitation s.7 yenye kuzuia kufile kesi ya ardhi baaya ya kupita miaka 12 tangu mtu alipoingilia ardhi na kuiendeleza
 
huko mbali sana adverse possession itaprevail ikisaidiwa na law of limitation s.7 yenye kuzuia kufile kesi ya ardhi baaya ya kupita miaka 12 tangu mtu alipoingilia ardhi na kuiendeleza

Mkuu miaka 12 inaanza kuhesabiwa toka mwanzo wa mgogoro, yaani kama ardhi ilinunuliwa mwaka 1986 na hata anaetumia akakaa bila kuitumia halafu nikafungua kesi mwaka 2015 nikaeleza katika maombi kuwa cause of action ilianza mwaka 2009 kwa huyo mtu kuvamia shamba/kiwanja ninachodai ni changu, mahakama itapokea ombi langu na hata huyo naedai kuwa ni mvamizi akijibu katika WSD kuwa amekaa zaidi ya miaka 12 bila kusumbuliwa still tutafikia hatua ya kusikilizwa ambapo hapo ndipo sasa mjibu maombi atatumia vifungu hivyo unavyovisema..ni lazima tusikilizwe ili mgogoro ujulikane ulianza lini
 
Back
Top Bottom