Wadau nafanya biashara ya vitu vya Jumla, naombeni mni support

Wadau nafanya biashara ya vitu vya Jumla, naombeni mni support

Joined
Jun 15, 2019
Posts
83
Reaction score
106
Naitwa Daniel Aloyce Daniel, nipo karatu, mkoa wa Arusha, mnaonaje Wana jamii forums mkiniungisha.

Najihusisha na pipi za Jumla, ambapo nawauzia watu wa reja reja mkauze. Mfano hii pipi hapo chini, nauza 7800 kwa kopo, ambapo wewe unauza 50 kama ni reja reja, ila kwa mtu anayenunua carton 85,000 kwa carton kuanzia 5, na 90,000 kwa carton 1 na usisahau kuwa kwenye carton 1 Kuna kopo 12.

Ngoja nikuingize darasani kidogo:

Ukichukua carton 5+, unaweza kumuuzia mtu anayechukua carton 1 Shilingi 90,000, unatengeneza 5000 kwa Kila carton utakayouza, ukichukua carton 1, unauza Kila kopo 7800 mpaka 8500 kutegemea na sehemu.

Tuchukue kima Cha chini, 7800, Unapata, 93,600, Ina maana unakuwa na faida ya 3600 kwa Kila carton, sasa twende zaidi, mtu akichukua kopo Moja, anapata 2,200 kwa Kila kopo akiuza reja reja Shilingi 50, maana kwenye kopo Kuna PC 200.

Na kwa watu wa Arusha, transport cost ni free kuanzia carton 1, watu wa karatu mjini na Arusha, usafiri ni free utapokea carton zako crocon Arusha.

Kwa watu wa mang'ola na mbulu Bado najipanga namna ya kusafirisha. Na nyie soon tutawafikia.

+255 743 016 950
1000062651.jpg
 
Naitwa Daniel Aloyce Daniel, nipo karatu, mkoa wa Arusha, mnaonaje Wana jamii forums mkiniungisha. Najihusisha na pipi za Jumla, ambapo nawauzia watu wa reja reja mkauze. Mfano hii pipi hapo chini, nauza 7800 kwa kopo, ambapo wewe unauza 50 kama ni reja reja, ila kwa mtu anayenunua carton 85,000 kwa carton kuanzia 5, na 90,000 kwa carton 1 na usisahau kuwa kwenye carton 1 Kuna kopo 12.
Ngoja nikuingize darasani kidogo:
Ukichukua carton 5+, unaweza kumuuzia mtu anayechukua carton 1 Shilingi 90,000, unatengeneza 5000 kwa Kila carton utakayouza, ukichukua carton 1, unauza Kila kopo 7800 mpaka 8500 kutegemea na sehemu. Tuchukue kima Cha chini, 7800, Unapata, 93,600, Ina maana unakuwa na faida ya 3600 kwa Kila carton, sasa twende zaidi, mtu akichukua kopo Moja, anapata 2,200 kwa Kila kopo akiuza reja reja Shilingi 50, maana kwenye kopo Kuna PC 200.
Na kwa watu wa Arusha, transport cost ni free kuanzia carton 1, watu wa karatu mjini na Arusha, usafiri ni free utapokea carton zako crocon Arusha. Kwa watu wa mang'ola na mbulu Bado najipanga namna ya kusafirisha. Na nyie soon tutawafikia.
+255 743 016 950
View attachment 3432099
Mkuu
 
Back
Top Bottom