Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

nimetoka hapo kununua zipper bag dah, mchikichini nadhani
Kituo cha mwendokasi msimbazi B, katikati ya petrol station na kituo cha polisi nyoosha na hio road mpaka utakapoona maduka ya packages
Fuata haya maelekezo.Umalize mabati ya soko la Kariakoo kwa mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…