kisumbusi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 795 Reaction score 946 Oct 12, 2021 #1 Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Oct 12, 2021 #2 Nenda gerezani Kariakoo hapa kuna wakulungwa wako vizuri Sana na hizo ishu... Piga picha gari alafu nenda kapatane nao kwanza bei
Nenda gerezani Kariakoo hapa kuna wakulungwa wako vizuri Sana na hizo ishu... Piga picha gari alafu nenda kapatane nao kwanza bei
kisumbusi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 795 Reaction score 946 Oct 13, 2021 Thread starter #3 pureView Zeiss said: Nenda gerezani Kariakoo hapa kuna wakulungwa wako vizuri Sana na hizo ishu... Piga picha gari alafu nenda kapatane nao kwanza bei Click to expand... Asante Mkuu nitafanya hinyo
pureView Zeiss said: Nenda gerezani Kariakoo hapa kuna wakulungwa wako vizuri Sana na hizo ishu... Piga picha gari alafu nenda kapatane nao kwanza bei Click to expand... Asante Mkuu nitafanya hinyo
longola Senior Member Joined Oct 15, 2015 Posts 106 Reaction score 254 Oct 18, 2021 #4 nenda tabata dampo wale ndio kiboko hapa mjini kuunda mabody kwa bei nzuri kabisa. Canter yangu nimechongea bodi uko
nenda tabata dampo wale ndio kiboko hapa mjini kuunda mabody kwa bei nzuri kabisa. Canter yangu nimechongea bodi uko
kisumbusi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 795 Reaction score 946 Oct 31, 2021 Thread starter #5 longola said: nenda tabata dampo wale ndio kiboko hapa mjini kuunda mabody kwa bei nzuri kabisa. Canter yangu nimechongea bodi uko Click to expand... Asante kiongozi
longola said: nenda tabata dampo wale ndio kiboko hapa mjini kuunda mabody kwa bei nzuri kabisa. Canter yangu nimechongea bodi uko Click to expand... Asante kiongozi
A Amer Bajhanun New Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Oct 31, 2021 #6 Nenda Tegeta bondeni nyuma kidogo ya kituo cha Tegeta kwa ndevu
kisumbusi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 795 Reaction score 946 Nov 1, 2021 Thread starter #7 Asante Mkuu
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Nov 1, 2021 #8 kisumbusi said: Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter Click to expand... Yani Kigogo ndo kila kitu, hata frame ya ndege ynapata, kama waitaji msaada naweza kukuelekeza
kisumbusi said: Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter Click to expand... Yani Kigogo ndo kila kitu, hata frame ya ndege ynapata, kama waitaji msaada naweza kukuelekeza
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Nov 1, 2021 #9 Tabata Dampo hawana Mpinzani kwenye Kuunda na kufanya modification ya magari ya Mizigo, tena kwa bei rafiiiiiki
Tabata Dampo hawana Mpinzani kwenye Kuunda na kufanya modification ya magari ya Mizigo, tena kwa bei rafiiiiiki