Wadau naomba mnisaidie hii Tafakuru Jadilifu kwa Jeshi la Polisi.. Tujadiliane..

Wadau naomba mnisaidie hii Tafakuru Jadilifu kwa Jeshi la Polisi.. Tujadiliane..

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,512
Reaction score
2,508
Heshima Mbele Kwa Wote..

Pamoja na Kua Nalipongeza Sana Jeshi Letu La Polisi Katika Nyanja Nzima Ya Ulinzi Wa Raia Na Mali Zao, Kwa Kuzingatia Kwamba Kipindi Hiki Hakuna Matukio Makubwa Ya Kihalifu (Sijagusia Utekaji) Kama Miaka Ya Nyuma, Mfano Wizi Na Ujambazi, Kuna Hili Swala Hua Linaniumiza Sana Kichwa...

Ndani Ya Daladala Dereva Asipofunga Mkanda Hukamatwa Na Askari Wa Usalama Barabarani Na Kupigwa Faini, Vivyo Hivyo Kwa Gari Binafsi. Je Nini Faida Ya Dereva Kulazimishwa Kufunga Mkanda Kwenye Daladala Au Mwendokasi Wakati Abiria Wamejaa Pomoni Na Hwajafunga Mikanda???

USALAMA UPO WAPI NA NANI AWE SALAMA?
 
Back
Top Bottom