Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 183
- 266
Lazima aongezepo kidogo ili apate iliyo freshMi ningetafuta HP Pavilion 15 ya 16GB Intel Core I7, au Pavilion 13 16GB AMD Ryzen 7 zenye SSD 256GB au 512GB.
Kusema kweli lazima aongeze, labda iyo 13” ya 256GB.Lazima aongezepo kidogo ili apate iliyo fresh
Kwa hio budget na dedicated graphics at most maybe unaweza pata machine yenye rtx 3050, sema nayo inabidi utafute Sana.Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis.
Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua hizo brand, ila nasikia Dell ni ngumu/durable na HP vipuri vyake vinapatikana kirahisi.
Bajeti yangu ni around 800k – 1M TZS.
Specs ninazotafuta:
Processor yenye nguvu kama Intel Core i7/i9 au AMD Ryzen 7/9
RAM angalau 16GB (32GB itakuwa bonus kubwa)
Dedicated Graphics Card yenye minimum 4GB VRAM, preferably NVIDIA GeForce RTX series
Storage SSD
Battery na cooling nzuri.
Kama kuna mtu anajua ana recommendation ya model nzuri ndani ya hiyo budget, naomba anisaidie ushauri hapa.
Asanteni 🙏
Aione pia Mwl.RCT @BabaRhobi K11 Drone Camera ukuwi
snipa h120
Model zipi ni rahisi kupata madukani itayonifaa?Kwa hio budget na dedicated graphics at most maybe unaweza pata machine yenye rtx 3050, sema nayo inabidi utafute Sana.
Brand ya laptop isikusumbue, brand zote wana laptop Vimeo na nzuri,
Ideal tafuta machine za Intel lunar lake, decent perfomance, Haina dedicated GPU ila GPU ya ndani ni level ya rtx 3050, inakaa na chaji Sana, umeme inakula kidogo so hata cooling itakua nzuri by default. KAZI zako za juu inapiga bila shida. Upatikanaji wake ni kuagizishia nje around $350 time to time eBay zinatokea.
Alternative ni Ryzen zenye Radeon 780/760 na 680 hizi GPU yake haifiki level za rtx ni kama GTX 1050-1650 sema CPU uhakika nzuri, itakaa na chaji na KAZI zako inafanya. Hizi utazpata hapa soko la ndani.
AchukueKwa hio budget na dedicated graphics at most maybe unaweza pata machine yenye rtx 3050, sema nayo inabidi utafute Sana.
Brand ya laptop isikusumbue, brand zote wana laptop Vimeo na nzuri,
Ideal tafuta machine za Intel lunar lake, decent perfomance, Haina dedicated GPU ila GPU ya ndani ni level ya rtx 3050, inakaa na chaji Sana, umeme inakula kidogo so hata cooling itakua nzuri by default. KAZI zako za juu inapiga bila shida. Upatikanaji wake ni kuagizishia nje around $350 time to time eBay zinatokea.
Alternative ni Ryzen zenye Radeon 780/760 na 680 hizi GPU yake haifiki level za rtx ni kama GTX 1050-1650 sema CPU uhakika nzuri, itakaa na chaji na KAZI zako inafanya. Hizi utazpata hapa soko la ndani.
Kwa Ryzen HP 845 G10 naona inatembea Sana mtaani mara kwa mara inapostiwa insta na FB.Model zipi ni rahisi kupata madukani itayonifaa?
angalau 16GB
Kiukweli nyingi huanzia 1.2MProcessor yenye nguvu kama Intel Core i7/i9 au AMD Ryzen 7/9
Link mkuu, Rtx 2060 pia ni nzuri.kwa bajeti yako unapata mtumba ya rtx 2060 vram 8gb unafanya kazi zakozote kama ni gamer kama mimi utakula sana maisha mpwa
atleast iwe core i7 gen 12 au zaidi
Hii PC ni roho ya paka. Lenovo walituliza akili saana hapa. Hii uhakika wa kukaa nayo 5+ years ni mkubwa.Achukue
Lenovo ThinkPad T480 Core I5 8th Gen 16GB RAM 256GB SSD 14″ Windows 11 Pro Laptop.
anapata kwa mtu aweke bango Fb Fasta tuLink mkuu, Rtx 2060 pia ni nzuri.
kama ujapata bado nicheki 0627796644 nina hp pavilion gaming pc gtx 1650 vram 4gb core core i7 gen 9Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis.
Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua hizo brand, ila nasikia Dell ni ngumu/durable na HP vipuri vyake vinapatikana kirahisi.
Bajeti yangu ni around 800k – 1M TZS.
Specs ninazotafuta:
Processor yenye nguvu kama Intel Core i7/i9 au AMD Ryzen 7/9
RAM angalau 16GB (32GB itakuwa bonus kubwa)
Dedicated Graphics Card yenye minimum 4GB VRAM, preferably NVIDIA GeForce RTX series
Storage SSD
Battery na cooling nzuri.
Kama kuna mtu anajua ana recommendation ya model nzuri ndani ya hiyo budget, naomba anisaidie ushauri hapa.
Asanteni 🙏
Aione pia Mwl.RCT @BabaRhobi K11 Drone Camera ukuwi
snipa h120
Wakuu naomba msaada PC yangu imekwama. Nikiwasha inanipa ujumbe huu hapa chini. Mouse haifanyi kazi na nikibonyeza F1 au F2 kama inavyonitaka hazibonyezeki. Shida inaweza kuwa nini na utatuzi ni upi? Please assist.Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis.
Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua hizo brand, ila nasikia Dell ni ngumu/durable na HP vipuri vyake vinapatikana kirahisi.
Bajeti yangu ni around 800k – 1M TZS.
Specs ninazotafuta:
Processor yenye nguvu kama Intel Core i7/i9 au AMD Ryzen 7/9
RAM angalau 16GB (32GB itakuwa bonus kubwa)
Dedicated Graphics Card yenye minimum 4GB VRAM, preferably NVIDIA GeForce RTX series
Storage SSD
Battery na cooling nzuri.
Kama kuna mtu anajua ana recommendation ya model nzuri ndani ya hiyo budget, naomba anisaidie ushauri hapa.
Asanteni 🙏
Aione pia Mwl.RCT @BabaRhobi K11 Drone Camera ukuwi
snipa h120
Umejaribu kutafuta keyboard ya nje? Hapo kuna error ya keyboard failure na pia kuna error ya battery Ile kama ya saa, Ile battery ya saa ikiisha charge vitu kama saa na kumbukumbu ya vitu visivyotumia HDD yako inapotea.Wakuu naomba msaada PC yangu imekwama. Nikiwasha inanipa ujumbe huu hapa chini. Mouse haifanyi kazi na nikibonyeza F1 au F2 kama inavyonitaka hazibonyezeki. Shida inaweza kuwa nini na utatuzi ni upi? Please assist.
View attachment 3607553