Stephano mulungu
Member
- Dec 13, 2017
- 14
- 3
Aise!! Je unafaham lolote kuhusu cryptocurrency ndogondogo?Nicheck kwa namba hii 0629 057864 nikuelekeze namna ya kujiunga na hii Bitclub Advantage kama wazo umelipenda, maana ndiyo habari ya mjini sasa.
Kuna deal fulani. Ukinikopesha tu 90 days unachukua 15 zako
Not this century.Mbona unamawazo ya kizamani sana mkuu. mtu anataka kujiajiri we unamwambia akasome ili aajiriwe. Not this world
Ndiyo. Niandikie meseji kwa hiyo namba niliyokupatia hapo juu halafu nitakupigiaAise!! Je unafaham lolote kuhusu cryptocurrency ndogondogo?
Endelea na nahiyo biashara iliyokupa izo milion 10.
Kama ni nje ya dar, Fungua biashara ya soda za jumla hasa pepsi na banana na vinywaji vikali anza na konyagi, valuu, kvant na wine kama st,.ana, dodoma na nyinginezo fast moving,,, fanya tafiti eneo utakaloenda then ukiona hamna mwenye nalo weka ww ni biashara inayotoka sana hasa miji inayokuwa kama dodoma, manyara, karatu
Mkuu ulipata wazo?mkuu haikuwa ya biashara ni saving
Hizo ten nikopeshe Mimi kwa muda wa Siku 90 nitakurudishia 15 na Mimi nitachukua ten zangu.
Mkuu ulipata wazo?
Mkuu njoo pm, niko serious sio Masikhara. Kuna mishebado nasanisi mkuu
Nauza figo yangu 0717507320
Mkuu nicheck via 0717425183 for professional business consultancy. Tutakushauri wazo zuri la kufanya na kukuandalia professional business plan. Karibu Arcadia Consulting Ltd
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
Hizo kuni huwa zinapatikana wapi mkuu?na wateja wako ni watu gani?imekaa powa sanaBiashara nzur ambayo mm inanitoa ...ni kuuza kuni znafaida maradufu ...mfano ukileta mzgo wa million mbili ...znakuwa kuni 3100 .....huku kuni n buku ukiuza utapata million tatu ...faida million mbili kwa wiki mbili had tatu ..itategemea sehem ulipo znsweza zikaisha kabla ya mda huo .........inalipa vizur ....mm nna vibal toka maliasili ...ukiwa interested nchek tubadilishane mawazo ...0685580057
Ukiwa kianzio cha mtaji wa kiasi gani labdaHabari ni Nzuri mwanajukwaa mwenzetu, japokuwa zipo ideas nyingi za biashara gani ya kufanya the big issue ni kununua experience za wanajukwaa ambao tayari wanauzoefu katika biashara tofauti x2, kwa mfano ukiwa na uhakika wa soko la kuuzia unaweza kuchukua dagaa kanda ya ziwa na kuzileta Dar.
Tutafune kaka naitaka hii biashara sanakama unaweza kazi nakushauri uanzishe biashara ya viazi ulaya. Milioni tano tu inatosha kuanzia biashara. Bei ya shamba polo ndogo ni 20000 mpaka 25000. Bei ya sokoni ni 35 mpaka 45 inategemeana na mazingira ya soko kwa siku husika.
Habari wanajukwaa.
Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.
Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.
Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.
Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.
Natanguliza shukrani!