Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Kama ni nje ya dar, Fungua biashara ya soda za jumla hasa pepsi na banana na vinywaji vikali anza na konyagi, valuu, kvant na wine kama st,.ana, dodoma na nyinginezo fast moving,,, fanya tafiti eneo utakaloenda then ukiona hamna mwenye nalo weka ww ni biashara inayotoka sana hasa miji inayokuwa kama dodoma, manyara, karatu

good idea.ila nipo Dar mkuu
 
Mkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Akili nyingi sana,"Dr.Shika best food
 
Biashara nzur ambayo mm inanitoa ...ni kuuza kuni znafaida maradufu ...mfano ukileta mzgo wa million mbili ...znakuwa kuni 3100 .....huku kuni n buku ukiuza utapata million tatu ...faida million mbili kwa wiki mbili had tatu ..itategemea sehem ulipo znsweza zikaisha kabla ya mda huo .........inalipa vizur ....mm nna vibal toka maliasili ...ukiwa interested nchek tubadilishane mawazo ...0685580057
Hizo kuni huwa zinapatikana wapi mkuu?na wateja wako ni watu gani?imekaa powa sana
 
Habari ni Nzuri mwanajukwaa mwenzetu, japokuwa zipo ideas nyingi za biashara gani ya kufanya the big issue ni kununua experience za wanajukwaa ambao tayari wanauzoefu katika biashara tofauti x2, kwa mfano ukiwa na uhakika wa soko la kuuzia unaweza kuchukua dagaa kanda ya ziwa na kuzileta Dar.
Ukiwa kianzio cha mtaji wa kiasi gani labda
 
kama unaweza kazi nakushauri uanzishe biashara ya viazi ulaya. Milioni tano tu inatosha kuanzia biashara. Bei ya shamba polo ndogo ni 20000 mpaka 25000. Bei ya sokoni ni 35 mpaka 45 inategemeana na mazingira ya soko kwa siku husika.
Tutafune kaka naitaka hii biashara sana
 
Ulifanikiwa mkuu
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom