mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah ajira,ajira,ajiraMkuu mi nakushauri izo pesa wekeza kwenye elimu hutojutia
Ayo mamilioni yanatosha kabisa kukusomesha mpaka masters na
hapa huwezi kosa mshahara wa mil4 kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah ajira,ajira,ajiraMkuu mi nakushauri izo pesa wekeza kwenye elimu hutojutia
Ayo mamilioni yanatosha kabisa kukusomesha mpaka masters na
hapa huwezi kosa mshahara wa mil4 kwa mwezi
Kuna deal fulani. Ukinikopesha tu 90 days unachukua 15 zakoAisee siku 90.!! We unaenda pigia mishe gan
Nicheck kwa namba hii 0629 057864 nikuelekeze namna ya kujiunga na hii Bitclub Advantage kama wazo umelipenda, maana ndiyo habari ya mjini sasa.Shs 4,635,000 sawa na $2,060 wekeza kwenye biashara ya sarafu Bitcoin ktk kampuni ya Bitclub Advantage. Kifurushi hiki ukijiunga unalipwa kwa siku $30.78 sawa na Shs.69,255 kila siku au Shs.346,320 kwa wiki, au Shs.1,523,835 kwa mwezi. Unaingia mkataba wa mwaka mzima. Na faida utakayorudishiwa kwa package hii, yaani Return on Investment(ROI)=300% i.e($5,997=Shs.13,493,250/-. Ndani ya miezi minne hela yako uliyoweka inakuwa imesharudi.
Mkuu naomba unitonye na mm Hilo diliKuna deal fulani. Ukinikopesha tu 90 days unachukua 15 zako
Mbona unamawazo ya kizamani sana mkuu. mtu anataka kujiajiri we unamwambia akasome ili aajiriwe. Not this worldMkuu mi nakushauri izo pesa wekeza kwenye elimu hutojutia
Ayo mamilioni yanatosha kabisa kukusomesha mpaka masters na
hapa huwezi kosa mshahara wa mil4 kwa mwezi
Kweli uzoefu sio neno zuri Sana kwenye hi karne ya 21..maana mambo yanabadilika haraka mno... Ukiweza invest kwenye ecommerce hi ni for midterm - long term.Hapo mkuu neno uzoefu litoe maan kam unaozoefu na kitu kingine kwann usifanye icho
Hapo kweli... Kwasababu wakati mwingine wazo LA mtu nivigumu kuliwekwzea inavyo takiwa ukpata mtu mwenye wazo zuri ongea nae I like muwekeze wote na muilinde vision... Think bigger.. Ecommerce for long term pays.... Million 15 ni pesa kubwa invest it for long term.Hizo pesa umezipata katika mazingira gan
Kamali
Biko
Kubet au
Mikopo kwenye taasis za fedha
Ukifungua biashara mwanzoni kama huna kazi ni vizur ukasimamia mwenywe usimuamini MTU lengo la kufany hivyo ni kujua loss and profits and how to control the business
Kama umechukua mkopo na hauna MTU wa kukufanyia close supervission weka pesa yako kwa fixed account mpaka utakpo pata MTU mwelewa mtakae gawana nae faida
Biashara aichukulie kama yake
Hapa wanenepeshe Kwa majani na vyakula vya ziada watajazia mawowo bei yao itapanda sanaJenga ranch sehemu nzuri yenye maji nunua ngombe wapandishe thamani tafuta soko la mifugo utapiga hela[emoji386] [emoji387] [emoji384] [emoji385] [emoji383]
Hapa wanenepeshe Kwa majani na vyakula vya ziada watajazia mawowo bei yao itapanda sanaJenga ranch sehemu nzuri yenye maji nunua ngombe wapandishe thamani tafuta soko la mifugo utapiga hela[emoji386] [emoji387] [emoji384] [emoji385] [emoji383]
Salute!! Kuwekeza m10 zote kwenye biashara mpya sio wise Sana.unajua nilishtuka kidogo nipate presha! namshauri kama yupo Dar atumie kama laki tano kule mkuranga anunue eka moja.shs mil moja achimbe kisima cha mkono,laki tano tenki la maji la lita 5000 na laki tano anunue pampu na aanze biashara ya kilimo cha matikiti kila baada ya miezi mitatu atakuwa anaingiza hela za uhakika.wanunuaji huwa wanakufuata shambani wewe waletee madalali pale kariakoo sample tu tikiti moja.ATUMIE MILIONI TANO TU KWANZA NA HIYO NYINGINE TANO AWEKE FIXED KWA MIEZI MITATU BENKI AKISIKILIZIA BIASHARA YA TIKITI KWANZA KUPATA UZOEFU WA KILIMO NA BIASHARA.
Njia ulioitumia kuingiza laki haiwez I kukupa mamilion lakini kupata billion utahitaji mtazamo mpya kabisa.. Keep learning.kwan hizo hela umezipataje? si uendeleze hiyo biashara uliyokuwa unaifanya mpaka ukapata 15mln