Wadau nataka kujiweka humu mwenye ushauri naomba nisije nikaingia mkenge

Wadau nataka kujiweka humu mwenye ushauri naomba nisije nikaingia mkenge

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
760
Reaction score
1,875
Nauliza hiki kifaa aliewahi kukitumia anipe uzoefu wake je unlimited yake ni ya kweli tofauti na airtel ambao wanabana speed ukizidisha matumizi
Screenshot_20250714_075513_Facebook.jpg
 
Kuna fibre ya Halotel ya 79,000 kwawezi ni nzuri sana; Hapo inapigwa naamini
 
Back
Top Bottom