Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Na muda ndo huu. Aogope uogaKijana amehamasika, jukumu ni lake sasa kujilipua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na muda ndo huu. Aogope uogaKijana amehamasika, jukumu ni lake sasa kujilipua
Hitaji la kwanza ni chakula, la pili mavazi, then gari, elimu, malazi, na internet.Itapendeza ukiweka hayo maitaji mengineo niyajue kabisa..
Ni gari moja poa tu dash board yake kidogo ingefanana na premio na alex, 1500, ni maarufu kama corola police
Wanasema toyota yoyote ambayo ni Corolla sio ya kujiuliza mara mbili....Wadau wote mnaotoa michangongo yenu kunisaidia kimawazo mimi Kabwela "Common Man" nawashukuru sana.Ila bado naona kama ushauri wa kitaalam sana sijapata.Ndugu zangu wengine nwanapota tu hapa hata hawatupii chochote.Jamani sadaka siyo mpakanupeleke kwa nabii.Ukitoa mawazo yako hapa ni sadaka tosha na Mungu atakubariki.
Asante sana kwa ushauri mzuri.Ukikutana na gari yoyote kizazi cha corolla unatakiwa uangalie muonekano wake tu kama umekupendeza machoni mwako wala usiulize habari zingine.
Nashukuru kwa ushauri wako.Wanasema toyota yoyote ambayo ni Corolla sio ya kujiuliza mara mbili....
Corolla x a.k.a Corolla Police ni gari nzuri kufuatia status yako ya "Common man" kwa kuwa vipuri vipo vinapatikana sana lakini la muhimu zaidi ni kwamba hii gari ina injini yetu pendwa ya 1NZ-FE hivyo kuhusu mafuta kama "Common man" ni kawaida tu.
Usisikilize watu wanaosema "ni ya zamani" bro...ukisikiliza raia utaendelea kuwa mwana wa Israel.
Kama unataka vitz nakushauri iwe ni Cc 1290 au 1490 na siyo 990.Cc 990 kwenye milima kanasinzia,kananasa nasa kwenye tope.n.k Labsa kama ni mtu wa lami tupuMie nataka ka Ist au ka vtz nijifunzie maisha ya kuendesha gari.Mwenye nako jamani
Watu wakusave bajeti,Mie nataka ka Ist au ka vtz nijifunzie maisha ya kuendesha gari.Mwenye nako jamani
Usimdanganye mwenzako. Gari dogo au kubwa inategemea na uwezo wako wa kumiliki gari husika. Uzoefu pekee hauthiri choice yako ya gari kubwa au dogo. Kikubwa ni uwezo wa kumiliki ana mazingira mtu anayoendeshea hilo gari. Pamoja na kuwa zipo gari ndogo zina engine kubwa, nyingi huwa zina engine ndogo na zipo nyingi kati ya hizo ambazo nguvu yake inatosha hasa kwa matumizi ya safari fupi fupi. Kwa ujumla, Gharama ya mafuta, service na maintenance costs pia huwa chini kwa gari ndogo kuliko gari kubwa (zipo exceptions).Ndugu yangu ngoja nikuoe experience,kama haujawahi kumiliki gari,unakuwa na mihemko mingi sana.Unachowaza ni kununua kagari kadogo,kenye engine ndo ka kuanzia maisha.Shida inakuja,unapoanza kuyaelewa magari,unapokuja kuelewa umuhimu wa engine yenye nguvu.Na ile misisimko inaanza kuisha,utaona tukari tudogo dogo ni tukopo.Utakuja kutamanai angalau gari la wastani.
Kuwa makini sana kununua gari la kwanza,epuka kabisa tugari tudogo dogo kama tu toy.
Mtanzania mwenzangu,kumradhi.Niliposema gari dogo.Nilimaanisha vile vigari vyenye viumbo vidogo vidogo na tu engine tu dogp Cc 600 hadi 900.Ila kimsingi gari la Cc 1290 hadi Cc 1999 bado nalo ni gati dogo.Usimdanganye mwenzako. Gari dogo au kubwa inategemea na uwezo wako wa kumiliki gari husika. Uzoefu pekee hauthiri choice yako ya gari kubwa au dogo. Kikubwa ni uwezo wa kumiliki ana mazingira mtu anayoendeshea hilo gari. Pamoja na kuwa zipo gari ndogo zina engine kubwa, nyingi huwa zina engine ndogo na zipo nyingi kati ya hizo ambazo nguvu yake inatosha hasa kwa matumizi ya safari fupi fupi. Kwa ujumla, Gharama ya mafuta, service na maintenance costs pia huwa chini kwa gari ndogo kuliko gari kubwa (zipo exceptions).
Kwa kifupi amiliki gari anayoweza kuimudu leo, na inayoweza kumfaa.
Kwa hoja hiyi naweza kukubali kiasi kwa sababu mimi mwenyewe nishawahi kumiliki gari ya cc990 na siwezi kurudi huko. Kama ni vitz, oasso nitatafuta ya kuanzia cc1300. Ila kama uwezo wake si mkubwa asiende engine zinazozidi cc1800Mtanzania mwenzangu,kumradhi.Niliposema gari dogo.Nilimaanisha vile vigari vyenye viumbo vidogo vidogo na tu engine tu dogp Cc 600 hadi 900.Ila kimsingi gari la Cc 1290 hadi Cc 1999 bado nalo ni gati dogo.
Kimsingi angalau anynue garindogo la Cc kati ya 1290 na 1990 hapo angalau atapata e,perience nzuri na litamfaa kwa mazingira mengi.Kuliko tu tiny cars.
Hivyo uliyoyaongea ni kweli kabisa ila hoja yangu ilikuwa hiyo.
Mtu ananunua gari la engine kubwa wakati kipato tia maji si ndo mwanzo wa kuwa analitoa weekend daily anapanda daladala.Ndugu yangu ngoja nikuoe experience,kama haujawahi kumiliki gari,unakuwa na mihemko mingi sana.Unachowaza ni kununua kagari kadogo,kenye engine ndo ka kuanzia maisha.Shida inakuja,unapoanza kuyaelewa magari,unapokuja kuelewa umuhimu wa engine yenye nguvu.Na ile misisimko inaanza kuisha,utaona tukari tudogo dogo ni tukopo.Utakuja kutamanai angalau gari la wastani.
Kuwa makini sana kununua gari la kwanza,epuka kabisa tugari tudogo dogo kama tu toy.