Wadau nataka nitie laki 9

Wadau nataka nitie laki 9

Ni kosa kubwa sana mkeka wako kupitiwa na macho ya watu hasa watanzania na waafrika kwa ujumla. Watu wamejawa wivu, kijicho, na roho mbaya. Kuweka tu hapa tayari watu watataka usifanikiwe na uliwe ili waseme kuwa umeona tulikwambia achana na kubet kanunue shamba kijijini.
 
Ongeza hapo Arsenal anashinda gemu ya mwisho. Pamoja na bayern levakusen atashinda dhidi ya atalanta hizo ni odds za bure. Gemu ya city vs westham nawasiwasi nayo japo city atashinda
 
Ni kosa kubwa sana mkeka wako kupitiwa na macho ya watu hasa watanzania na waafrika kwa ujumla. Watu wamejawa wivu, kijicho, na roho mbaya. Kuweka tu hapa tayari watu watataka usifanikiwe na uliwe ili waseme kuwa umeona tulikwambia achana na kubet kanunue shamba kijijini.
Kama wao ndio wanaocheza uwanjani sawa
 
Huna lolote wewe ni mjinga tu. Na huo mkeka unachanika, kati ya man u au dortmund kuna mmoja anaalibu shughuli hapo, game ya fainali watu wanapambana kwa jasho na damu sio ya kuichukulia poa
Tafuta pesa mzee naona kichwani umedata sababu ya njaa Sasa hivi machizi hawaajiliwi mzee nenda kaokote makopo utatafuta sana ajira na haupati🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta pesa mzee naona kichwani umedata sababu ya njaa
Wewe kapuku tu haujui kubet wala hauna jeuri ya kuweka stake ya 900k unachangamsha genge tu hapa., wanaoweka stake ndefu huwa hajitangazi wana uhakika na chaguzi zao kwaiyo mpaka kufikiria ku-stake parefu ashafanya uchambuzi wa kina hana haja na mawazo ya wengine. Hakuna gamble hapa hata iyo screenahot sio akaunti yako umetoa tu mitandaoni
 
Sawa wewe ndio unaweza kustake ila njaa mbaya sana unamchukia mtu ambaye humjui endelea kutafuta ajira mzee haya hiyo nimescreeshot Sasa hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20240515-174900.jpg
    Screenshot_20240515-174900.jpg
    494.6 KB · Views: 5
Sawa wewe ndio unaweza kustake ila njaa mbaya sana unamchukia mtu ambaye humjui endelea kutafuta ajira mzee haya hiyo nimescreeshot Sasa hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weka iyo stake dortmund akushangaze. Real madrid anapigwa iyo game wale wajerumani wanacheza kwa nidhamu sana wakishikilia bomba mpaka penati lolote linaweza kutokea hata iyo fainal ya fa man u akiwa amekamilika usishangae man city akakalishwa
 
M

Kwani wakinishangaza wewe unapungukiwa nini si ni yangu mzee au njaa zinakufanya unadata ajira hamna unaleta hasira kwangu kwani Mimi ndio ccm ukiona maisha magumu achana nayo tu jirushe barabarani asubuhi Sauli ikiwa inapita morogoro road🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
M

Kwani wakinishangaza wewe unapungukiwa nini si ni yangu mzee au njaa zinakufanya unadata ajira hamna unaleta hasira kwangu kwani Mimi ndio ccm🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna anaekuchukia shida yako una mawazo ya kimasikini kumiliki 900k unaona ni mafanikio makubwa ya kuchukiwa na wengine. Umeleta mkeka kuomba ushauri cha kushangaza anaekushauri tofauti unamtolea lugha ya kejeli sasa kama ulikua na uhakika na mkeka wako si ungelipia tu bila kutaka ushauri wa wengine. Nimekushauri vizuri iyo stake ni kubwa kukaa kusubiri game za wiki 3 halafu mbili kati ya izo ni fainali, fainali watu wanapambana sana usichukulie poa game ya fainali, ndio maana nikakwambia iyo stake weka jpl kuna crucial games nyingi sana, timu kama arseanl, man city, atletico hata lyon kule ufaransa ni lazima washinde. Punguza show-offs dogo 900k sio pesa ya kuvimbia watu
 
Back
Top Bottom