Wadau nataka nitie laki 9

Wadau nataka nitie laki 9

Hha unaomba ushauri huku tayari ushaandaa maamuzi yako..
We jilipue tu kama pesa niyako muhimu kufanikiwa tu wengine tulishakimbia
 
Japo ni hela yako na hatuwezi kukupangia ila kusubiria wiki3 upate faida kama iyo naona kama ni ku risk sana wakati weekend kuna game nyingi nzuri mfano nenda Ligi ya Czech republic ...salvia Praha na sparta praha wanagombania kombe wamepishana kwa point 3 wote awo weekend wanashinda..
 
Pamoja sana

Huyu jamaa nakumbuka kwenye mkeka wake wa laki tisa alimjumuosha na Leverkusen. Kama ali place bet sijui ana hali gani huko alipo.
 
😂😂😂 Kamari si kwa kila mtu, Kiko wapi? 900k fyuuuuu! Chezea mhindi
 
Hiyo laki 9 ungeoneza kidogo tu ungepata bodaboda Boxer mpya kabisa 😂
 
We jamaa fala kweli yaan unastake 750k ili upate 790k, ungekua karibu yangu ningekutandika makofi.
Nimeshangaa sana, mtu anaweka rehani laki saba na ushee hili apaye faida ya 40,000/= kama ni hivyo kwani asifungue saccos tu huko mtaani kwao awe anakopesha watu kwa riba ya 5% ambapo kwa kufanya hivyo hatakuwa na wasi wasi wowote ule kama ilivyo sasa hivi mkeka unaweza ukachanika
 
Huna lolote wewe ni mjinga tu. Na huo mkeka unachanika, kati ya man u au dortmund kuna mmoja anaalibu shughuli hapo, game ya fainali watu wanapambana kwa jasho na damu sio ya kuichukulia poa
Nilikutaarifu mapema mdogo angu, mechi ya fainali usiichukulie poa watu wanapambana kufa na kupona. Next time uwe unasikiliza wakubwa zako
 
Nilikutaarifu mapema mdogo angu, mechi ya fainali usiichukulie poa watu wanapambana kufa na kupona. Next time uwe unasikiliza wakubwa zako
Sure mzee ulimpa tahadhali kiungwana kabisa yeye akaishia kutukana tu ila wewe hukujibu matusi yake.
Big Up [emoji109]
 
Nilikutaarifu mapema mdogo angu, mechi ya fainali usiichukulie poa watu wanapambana kufa na kupona. Next time uwe unasikiliza wakubwa zako
Ulimtaarifu nani mjomba hii ni betting naijua kuliko unzvyooijua wewe kuliwa kawaida hata kama sio fainali unaliwa tu usijifanye mjuaji kumbe huna lolote pesa bado ipo na imezidi hiyo hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20240526-070558.jpg
    Screenshot_20240526-070558.jpg
    322.4 KB · Views: 4
Sure mzee ulimpa tahadhali kiungwana kabisa yeye akaishia kutukana tu ila wewe hukujibu matusi yake.
Big Up [emoji109]
Pesa ipo na imeongezeka wewe yaani mlikaa mkategemea niweke Ili ni liwe hahahaha naijua betting kuliko mnavyoijua na pesa imeongezeka 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20240526-070558.jpg
    Screenshot_20240526-070558.jpg
    322.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom