Wadau nataka nitie laki 9

Sawa wewe ndio unaweza kustake ila njaa mbaya sana unamchukia mtu ambaye humjui endelea kutafuta ajira mzee haya hiyo nimescreeshot Sasa hivi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
We jamaa fala kweli yaan unastake 750k ili upate 790k, ungekua karibu yangu ningekutandika makofi.
 
Ja
Mimi nilichokujibu Sina shida ya hizo odds ninaziamini hizi tu wewe ukaja na hasira zako za njaa unaanza kuniita mjinga ulitaka nikubembeleze kama demu wangu sio yaani uniite mjinga unategemea jibu Gani njaa zako zinakufanya unachukia watu
 
We jamaa fala kweli yaan unastake 750k ili upate 790k, ungekua karibu yangu ningekutandika makofi.
Mtandike makofi mama Yako ambaye alipanua mbunye bar kwa masela akapigwa mtungo ukazaliwa masikini kama wewe yaani wewe ni bonge la fara unapangia pesa ya mwanaume jinsi ya kustake kweli nimeamini wewe unanjaa sana mpaka unaonea wivu pesa yangu mzee tafuta pesa🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ja

Mimi nilichokujibu Sina shida ya hizo odds ninaziamini hizi tu wewe ukaja na hasira zako za njaa unaanza kuniita mjinga ulitaka nikubembeleze kama demu wangu sio yaani uniite mjinga unategemea jibu Gani njaa zako zinakufanya unachukia watu
Izo izo unazoziamini ndizo zitakuchoma, game za fainali ni ngumu sana usibet kichwa kichwa. Hata kwa upande mwingine return utakayosubiri kwa izo wiki 3 ni ndogo sana ukilingasha na return utayoitengeneza ukizungusha iyo hela kila wikiend. Yaani uweke 900k kusubiri faida ya 500k baada ya wiki 3.! Nimeona mkeka hapo juu umewekea 750k na return ni 790k, unarisk hela nyingi kupata faida ya 40k.! Badiliiaha style yako ya kufanya calculations za faida.
 
I
Embu screenshot mikeka Yako uliyokula maana naona kama umedata na pesa za watu unapiga kelele tu hapa weka mikeka Yako unayokula 🀣🀣🀣
 
Aende na pale saudia aka mpe al hiilal
Huyo wiki hii anakipiga na al nassr, kushinda na al nassr kupata goli inawezekana, GG na over 2.5 inawezekana zaidi.

Al ahli ya kina mahrez watakipiga na wachovu abha ya pitso mosimane.
 
I

Embu screenshot mikeka Yako uliyokula maana naona kama umedata na pesa za watu unapiga kelele tu hapa weka mikeka Yako unayokula 🀣🀣🀣
Unaambiwa ukweli umekazania pesa pesa ndio maana nikakwambia wewe ni kapuku ambae umechanganyikiwa baada ya kumiliki iyo hela kwa mara ya kwanza, wenye uwezo wa ku-stake kiqsi hicho na hawana mawazo ya kupoteza huwa hawajitangazi. Yaani unafikia mpaka hatua ya kutukana mama za watu kisa 900k
 
Weka screenshot ya mikeka Yako unayokula si umesema wewe nimtaalamu acha kupiga kelele mzee kwani mbona ni Jambo la sekunde tu povu la nini tena sawa Mimi kapuku weka Sasa screenshot za mikeka Yako unayokula wewe si tajiri nashangaa tajiri Gani unaandika maandishi tu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nipo hapa kujifunza usisahau mrejesho wa baada ya HIZO MECHI zikisha chezwa..
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…