Wadau nimependwa na askari wa Trump na ninaelekea kuvunja rekodi ya ubilionea

Tapeli akianzisha convo na mimi hua namfanyia kitu kinaitwa 'unrelated answers' mfano akiuliza "How old are you?" Nitajibu "Am not here to fvuck spiders" yaani lolote linalonijia ila siyo linaloendana na swali lake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kwa ninavyomjua mbongo....
Chief ambaa ambaa nae huyo ili liwe funzo...[emoji1787][emoji1787]
 
Naongeza 3: huyo Askari ni mwanaume na sio mwanamke,huyo jamaa ajiandae kuliwa kiboga
 
Hata kama sijui Lugha ya kina Turnbull πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›

Wewe ndio fursa sasa hapo.

Wewe ndilo embe linalosubiriwa kuliwa kwa chumvi mkuu.
 
Utapeli ni wa wazi kabisa kuhusu wasifu wa hiyo picha.
Sare ya nchi,nembo na cheo vimedhihirisha uongo na nia ovu aliyodhamiria kukutenda mtu anayeigiza kukutafuta 'urafiki wa kalamu'.
 
Hapa utaambiwa unatumia western union acnt?baada ya hapo watajifanya kukutumia mzigo via DHL ilq inatakiwa uchangie kias flan cha pesa kama dollar 100 iv.Hawa n wanaigeria na wanasenegali ndo wanafanya huu utapel kwny mitandao,mark my words
 
Hii kombat mbona ni uingereza. Ndo maana ipo bendera kwenye mkono wake wa kushoto. Na uingereza huvaa vyeo mbele na sio mabegani au kwenye ukosi wa kombati akma marekani. Minaijeria ngoja ikunyooshe utakuja kuanzisha uzi wa matapeli wa WEST AFRICA
 
Jamaa ata sio pro kabisa kwanza hilo Jeshi sio la marekani pili huyo bibie sio Sergant bali ni Captain, utapeli upo everywhere ni kwamba siku mtu ukikutana na Pro kuchomoka ngumu unakutana na mtu anakutapeli kwa long term plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…