Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Inacheka hihihihihiiiiiMinaigeria imepozi kwa nyuma hapo kaka
Inacheka hihihihihiiiiiMinaigeria imepozi kwa nyuma hapo kaka
Umenikumbusha kuhusu marryclara Matt almanusura nipewe 2 millions na mama yangu nitume niclaim mzigo bandarini....Hapa utaambiwa unatumia western union acnt?baada ya hapo watajifanya kukutumia mzigo via DHL ilq inatakiwa uchangie kias flan cha pesa kama dollar 100 iv.Hawa n wanaigeria na wanasenegali ndo wanafanya huu utapel kwny mitandao,mark my words
Huyo ktk uniform hana cheo cha sergeant, so moja kwa moja ni cha kike hikoHivi hawa wadudu bado wapo dunia hii au kuna mambwiga wanadakwa na kuingizwa cha kike...?
My name is Sergeant Susan Baines.
View attachment 1493800
I am united state of American
soldier working as United Nations peacekeeping troop in Syria, on war
against terrorism.
I am a single woman and an orphan too, I live in a military camp in Damascus Syria.
I am 32 years. I am the only child of my parents, but my parents are dead. Now i have no relation and i want to quit this job and go over to another country and establish myself, start a new life, invest in a good business.
Please i have a special reason why i contacted you, i believe you are a good person and by God's grace i can trust you too.
Naendelea kuchati na kupokea email zake nitawajuza atakapoishia hajui hii Nyerereland nani bongoland [emoji16]...!
Utapeli wa hivi upo bado? F
Unachat na mdogo wake Hushpuppy
Mimi huwa nawapa akaunti yangu ambayo huwa haina kitu ina salio la maintain akaunti.Subiria kuombwa bank details zako ili akuingizie pesa
Na bado wanakamatwa wengi tu....Hiyo Email unakuta yametuma zaidi ya Copy milioni ishirini Dunia nzima lazima kuna maboya kama 300 mpaka 1000 watajichanganya...Hiyo Combat yenyewe siyo ya Jeshi la Marekani.Wanaijeria walidaka mabwege wengi sana kwa mitego hii hii!
apo ataomb bank details BasSubiri kuombwa hela🤣🤣🤣🤣🤣
Hahhaahaaa!ndo huyu huyu alini email kuwa yy n sister wa kanisani ila anatafuta kama baloz East Africa aje kutembelea,mara ooh nakutumia package yenye cumputer almost 6 na mzigo upo senegal kwa hyo nitume dollar 90,nkashtuka gafla ila kanilia bando sanaa na muda wangu,mpuuuz sanaaaUmenikumbusha kuhusu marryclara Matt almanusura nipewe 2 millions na mama yangu nitume niclaim mzigo bandarini....
==============================================================================Hivi hawa wadudu bado wapo dunia hii au kuna mambwiga wanadakwa na kuingizwa cha kike...?
My name is Sergeant Susan Baines.
View attachment 1493800
I am united state of American
soldier working as United Nations peacekeeping troop in Syria, on war
against terrorism.
I am a single woman and an orphan too, I live in a military camp in Damascus Syria.
I am 32 years. I am the only child of my parents, but my parents are dead. Now i have no relation and i want to quit this job and go over to another country and establish myself, start a new life, invest in a good business.
Please i have a special reason why i contacted you, i believe you are a good person and by God's grace i can trust you too.
Naendelea kuchati na kupokea email zake nitawajuza atakapoishia hajui hii Nyerereland nani bongoland 😁...!